shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
Wale jamaa wanafanya kazi nzito kwahiyo ni halali kabisa . Ukifika machimboni ndio utajua watu wanakula sana kuna wachimbaji,makago, na wakokozi wa ziwani nao wanapeleka msosi ni balaaHa ha ha hao watu mpaka unajiuliza huwa wana matumbo ya ziada?
Wale ni walaji wa nyama tu tena za kuchoma au mchemsho na wala hawazipati nyingi kivile. Kuna ngoma mtu mmoja anamaliza karai la ugali.Kama akina duduqe hawapo humu basi hi list ni feki
pia nilitaka niseme, hivi nawajua wakurya huyu?Hiyo namba 8 ikawe namba 2
Wasukuma lazima wawe namba wani kila sector. Kwa sababu wako kila mahali Tanzania, wanachapa kazi so mchezo. Ulitaka awemo mzaramo anafanya kazi gani.Nilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.
Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti …
Wasukuma umepatia 💯 kabisa lkn wasafwa hapana kabisaMko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Makabila yanayoongoza kula chakula kidogo vile vile wanaoongoza kwa uzembe, kukaa vijiweni na watoto wao kuwa na utapiamlo..Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wanyaturu
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Ungesema kwa Sauti ili ukumbane na virungu vya kijedaKuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Sikujua kama kuna kabila la Wajinga.Wanyamwezi, Wamakonde, Wamaasai, Wahehe, Wabena, Wamalila, Waandali, Wamanyema, Waluguru, Wapogoro, Wachagga, Wapare, Wakaguru, Wajinga, na Wasangu
Angalizo, wenye asili ya kufanya vibarua na kulima sana kwa vikundi na masaa mengi ndio vinara,
1. Wasukuma
2. Wanyamwezi
3. Wagogo
4. Waandali
5. Wasafwa,
6. Wamalila
7. Wanyiha
8. Wahehe
9. Wabena
10. Wamaasai
11. Wakurya
12. Wakala
13. Wakerewe
Note: Mhaya anaongoza kwa ulafi na uchoyo anaweza kudowea chakula chako ila plate yake ikija anakukataa makavu, ogopa roho mbaya ya Mhaya, na mpate
Umepatia kweli hii list.Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Nyie nembo ya taifa lazima mshike namba moja kwa kila kitu…!!Nilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.
Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti …