Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Ukiweza kula makande ya mbena bila kutapika basi utwaeza kula hata kinyesi bila shida
 
Sisi kwetu hawakuwai kupika ndizi wala tambi kama mlo.Ni mwendo wa wali mwingi sana,ugali,kande ,viazi au mihogo.
 
Ninachokupendea hujawahi kukataa asili yenu..!!
Kwahiyo hiyo midude ya rangi inaingia tumboni? 😹😹😹

Mkinga mwenzangu kazoea bumunda na ndosa, huo ugali atauweza kweli kuupika na kula?? 🀣😹
 
😹😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa kula huko ni lazima wajenge mashimo makubwa ya vyooπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…maana mzigo unaoshushwa hapo sio mchezo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka sana!! 😹😹
Wasukuma kazi iendelee nyie kuanzia namba 1-20 mkae nyie…!!
 
Wakienda chooni huwa wanatoa mzigo nusu ndoo bila shaka.
 
Mkuu 1-10 ilipaswa kuwa ni wasukuma tu, halafu 11 na kuendelea ndo wafuatie wengine.
 
Mkuu 1-10 ilipaswa kuwa ni wasukuma tu, halafu 11 na kuendelea ndo wafuatie wengine.
 
Woyooooo!!!
 
Bila wakunyumba kuwepo ktk list, ingekua batili.
Tena ilitakiwa tuwepo Top 5 hapoo, sisi kula sana ni humu tyuuh,

Nimekumbuka siku nimeenda KFC, nilicho agiziwa na kilicholetwa, nkaona huu utani, nisiongeze kingine cha tofauti ili nishibe vyedii.
Mwili haujengwi kwa mawe, ni Msosi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.

Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti …
Nako kutokula siyo sifa, watu wanatumia energy kubwa katika katika shughuli zao za kiuchumi lazima wale chakula cha kutosha. Nature ya kazi zao Hauwezi ukawlfananisha na wale wanasubiri wazungu wawainyeshe picture za wanyama au njia za kwenda milimani au wanaosubiri uwape mchongo wakuibie au wakudhurumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…