The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Unajielewa unachozunguza kweli.Hivi mwenye nyumba kasema hivyo then wewe unasema mizgo inakuja na kutolewa haraka kwa kuwa urasimu umeondolewa.Au umesoma heading tu?hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
Uliza kwanza hicho kiwanda mmiliki ni nani kama hayo mabilion hayaendi china na canada, hatuwez faidika hata kidogo.Tofautisha wakat wa nyerere ambapo viwanda vilimilikiwa na serikali.Walau umeleta wazo mbadala. Linachangamsha Linachangamsha ubongo hili
Kumbe na wewe kichwa panzi?Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Kazi ya wabunge Ni kuishauri serikali kazi ya Waziri Ni kumshauri raisi kila ngazi ina ukomo wake ila kwa mtukufu sijui kama atakibali ingawa naamini hakuna baunsa WA njaa
Na we ninoma unabishana na tv au na kamati ya bunge???Toa data tujue kuwa mizigo imepungua,na wataalam makini hufanyia kazi data pale zinapopanda au kushuka kwani Serikali,Taasisi hata NGO hufanya kazi kwa kufuata Targets walizopanga sio maneno tu weka data hapa tujue ukweli wa unachosema.
Hapana ni kichwa balale au balanguluKumbe na wewe kichwa panzi?
Mkuu, yaani wabunge wa CCM waishauri serikali yao tukufu!? Are you serious!!!Yap,ndo maana nikasema wabunge wangeshauri vyema kuhusu hilo katika kikao cha bajeti kilichopita basi mawaziri wangefikisha ushauri huo kwa Rais ila kama waliona hakuna tatizo wasibebeshe mzigo huo watu wengine ila waseme tu kila mmoja hajafanya kile kinachotakiwa.
Mkuu tatizo libaeleweka lipo wapi mbona.Hivi aliyetangaza hahitaji watalii wabeba mabegi tu ni nani? Nchi yetu haijafikia utajiri wa kiasi ya kubagua watalii wa kipato kidogo maana hata kutangazwa na kufahamika tu kuwa tunapokea idadi kubwa ya watalii duniani ingesababisha kutuletea watalii wengi zaidi.Ni wakati wa kukaa na wadau kuona wapi kwenye tatizo ili watu warudi kutumia bandari yetu.Biashara inataka mtu kuweka mazingira mazuri na sio kutumia nguvu.
Atakua anamaanisha vivuko vinakwenda kigambon na kurudi MagogoniHivi umeelewa kinachojadiliwa kwenye hi mada? Kwahiyo wewe kwako meli zikipishana ndo zinaongeza mapato na mizigo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa mkuu yani hawatakiwi kumuingilia raisi kwenye majukumu yake. Atawapa dakika 5 tu.Hivi rais wetu anashaurika??????
''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.
Msimuingilie kwenye majukumu yake
Kwa kweli mi napata kizunguzungu kabisa, hizi habari leo wanasema hivi kesho wamekanusha.Juzi kati kuna huyo boss wa bandari alisema...bandari mambo safi mizigo ni mingi....leo wamekanusha..
Kazi yao ni zidumu fikra za mwenyekiti wa kijani. [emoji3]Kushauri mambo gani tena,na moja ya kazi ya wabunge si hiyo pia ya kuishauri serikali au wao kazi yao nini pale mjengoni Dodoma.
Mkuu pia kuna uhaba wa vitabu vya passport toka mwezi wa nne mwaka huu, jamaa yangu wa uhamiaji hata hajui lini vitaletwa.!!!!Tulieni Mnyooke!
Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.
Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.
Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.
Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.
Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.
Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano