Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Waliondoka na treni na reli waliibomoa?
Nafikiri waliondoka na wataalamu wa uendeshaji na pia wakagoma kununua malighafi waliziokua wanabeba Bara kupereka Viwandani kwao ulaya.
Hii trein ilikuwa inafika Ulaya mkuu?
Duh..Treni itafikaje ulaya mkuu?!..shida yenu mliosomea nje ya nchi hamjapata bahati ya kusoma Historia ya Tanzania..nafikiri kuanzia form 2 watoto wengi wamefunzwa swala hili..au unadhani wajerumani walijenga reli ili kuwarahisishia Watanganyika Usafiri Kati ya Bara na Pwani?!
 
Nimesoma hapahapa ndani, sijawahi kuona nchi ya kipuuzi kama yetu watu wanashangilia local train ambayo imekuwepo zaidi ya miaka 200 iliyopita tena wakoloni waliiacha inafanya kazi vizuri leo tunashangilia ujinga, tumeua wenyewe na tunashangilia kurudisha wenyewe.
 
Ndo mana nasema CCM ni vilaza Sana. Karen hii ya
21 mnajisifia kufufua treni inayotumia masaa zaidi ya 15 kufika arusha tu hapo????

Nyie watu hamnaga akili sana!!! Hivi kuliko nisafirishe bidhaa kwa gari Kwa nini nitumie treni??? Tena kwa miundombinu ambayo mvua ikinyesha kidogo tu shida!!
 
CCM wapuuzi sana ndugu!! Ushamba wao na ujinga wao wanataka kutufanya wote wajinga na washamba.
 
Wafuasi wa Chadema watakwambia Lisu anaweza jenga reli hewani.
 
Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Unajua maana ya wakoloni ?
Tukurudishe shule kidogo
 
Ngoja lissu aje Kesho Arusha muone atakavyowashambulia nyie kuletewa gari Moshi.

Huyu jamaa hajawahi kuitakia mema hii nchi hata kidogo mpaka sasahivi anataman Watanzania wafe na corona ili apate Cha kupayuka huko nje kwa mawakala wake.
 
lilikuwa njiani ndani ya miaka 30?
 
Kama Lisu na Membe hatagombea hata kwenda kupinga kura sitahangaika, siwezi kwenda kuchagua maisha magumu hiyo laana siitaki kabisa
Kwani Lissu na Membe ndio watakujaza hela mkuu?.Piga kazi wewe acha lawama ,wenzako tunakomaa na life linasonga tuu mbona.
 
Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Inashangaza sana kwa jinsi serikali za ccm zilivyoua treni bila sababu yoyote, yaani treni ilikufa tu kwanini, hakuna mwenye sababu, ccm mwisho October.
 
Mleta post

Hiyo trein imewanufaishaje wazazi wako?
Kusafirisha mazao kutoka Mikoa inayopita wanakolima kuyaleta sokoni Dar es salaam kwa Bei nafuu kuliko malori
 
Anazunguka nchi nzima kwenye Lami ya Magufuli kutafuta wadhamini halafu anasema serikali haijafanya lolote!!!
 
Imepita miaka 30 mpo mdarakani leo ndio mmejua lori zinaharibu barabara?
Ubora wa barabara nalo ni tatizo kubwa,mnahitajika mpishe njia, 28/10 mnawekwa pembeni na wapiga kura,mmeshindwa kukidhi mahitaji yao.
 
Wanasema acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe.

Leo hii wakazi wa Arusha na viunga vyake walijitokeza kwa maelfu kushuhidia treni ya kwanza ya majaribio kuingia ndani ya jiji la Arusha ikiwa ni miaka zaidi ya 30 baada ya Shirika la reli kuwa hoi.

HONGERA JPM...TUMEKUELEWA SANA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…