Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Hiyo reli ilijengwa na mababu zetu chini ya wakoloni kwa viboko. CCM mkaiharibu kwa makusudi, sasa mnatafuta kiki kwa matumizi mabaya ya kodi yetu!

Shenzi nyinyi!
Ulitaka waiache kwa sababu waliiharibu wao?
 
Hiyo reli ilijengwa na mababu zetu chini ya wakoloni kwa viboko. CCM mkaiharibu kwa makusudi, sasa mnatafuta kiki kwa matumizi mabaya ya kodi yetu!

Shenzi nyinyi!
Matumizi mazuri ya kodi zetu chini ya JPM ndiyo yameifufua
 
Naona ITV wameonyesha hilo tukio. Ila kwa huko Arusha sioni kama hiyo treni ni jambo la kuwatisha sana, maana hawana tatizo la usafiri.

Na isitoshe hiyo treni ni so outdated wakati kuna usafiri wa kisasa na wa haraka. Labda wasafirishaji wa mizigo wanaweza kufaidika na hiyo treni.
 
Hata hiyo treni iliyofika kwa majaribio ilibeba mzigo wa kutosha...hapo kwenye stesheni ya treni ni eneo la Viwanda Arusha.
 
Nafikiri hiyo miaka 30 nyuma waliokuwa wanaongoza hii nchi ni CNDD- FDD. Yaani muue reli halafu muitengeneze kwa kodi zetu, Kisha mseme tuwapongeze kwa kufufua reli mliyoua nyie wenyewe. Period!!!!
 
Nafikiri hiyo miaka 30 nyuma waliokuwa wanaongoza hii nchi ni CNDD- FDD. Yaani muue reli halafu muitengeneze kwa kodi zetu, Kisha mseme tuwapongeze kwa kufufua reli mliyoua nyie wenyewe. Period!!!!
Pongezi ni kwa awamu ya tano....na hivyo tunaipa tano tena
 
Matumizi mazuri ya kodi zetu chini ya JPM ndiyo yameifufua
Fedha zilizotumika kukarabati upya reli hiyo zingetumika kufanya kazi zingine za maendeleo. Pia reli iliyokuwepo ingekuwa imetengeneza faida kubwa.
 
Fedha zilizotumika kukarabati upya reli hiyo zingetumika kufanya kazi zingine za maendeleo. Pia reli iliyokuwepo ingekuwa imetengeneza faida kubwa.
Kazi zipi hizo?
Kama ni Hosoitali tumejenga
Kama ni shule zimejengwa na kukarabatiwa
Kama ni masoko tumejenga
....The list is on Amigo
 
Msikilizeni lisu ndo mtamuelewa anawaambia hiyo miundombinu Tangia kipind cha mkoloni ilikuwa inajegwa
 
Wee jamaa ni kichwa panzi kabisa! Wale wale watu wachache namna ile ndio unasema maelfu? Nilikuwa pale kwenye mti wa zambarau
 
Kazi zipi hizo?
Kama ni Hosoitali tumejenga
Kama ni shule zimejengwa na kukarabatiwa
Kama ni masoko tumejenga
....The list is on Amigo
Nimemuona Waziri Mkuu ITV sasa hivi akilalamika kuwa shule hazina madawati, wanafunzi wanakaa sakafuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…