Treni ya umeme naona imeanza kazi

Sheiiilaaaaa hahaa
 
Inasikitisha sana. Sasa kulikuwa na haja gani ya kuteketeza matrillion wakati tulikuwa na reli ya kati na tazara.

Dah nigger so saaaaddd!
 
Mabehewa ya mjusi si matako kila mtu anayo,kuweni wavumilivu hata mbuyu huwanza kama mchicha
 
Hebu tuwe serious kidogo,hivi hii treni ina chanzo chake cha umeme?au ni huu wa Kipara na Maharage🤣🤣.
Hii treni sitapanda maana Kuna siku kichwa cha Umeme kitayaacha aya mabewa na abiria Pugu alafu chenyewe kikatangulia Morogoro🤣🤣.
Wanzanzibara hapo tumepigwa aisee!
 
Hayo sio ya umeme wamewaletea wachaga kwa ajili ya mwezi huu wa 12
 
Walikuwa wanayasogeza hayo mabehewa mapya kutoka kule bandarini...

Behewa za SGR zinaweza kuvutwa na kichwa hata cha Diesel...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…