ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuna watu wanacheka sijui nini kinawachekesha.Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.
In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.
The president's full post reads:
View attachment 3378447
Lengo sio hayatollah mkuu,lengo kuu nadhani umelionaIsrael na mumewe USA hadi sasa wamefanikiwa kumuondoa Ayatollah kama sehemu ya mkakati wao ?
Hadi hapo hujaona nguvu ya Iran hadi mataifa kadhaa kumchangia?
Ni sawa na wewe unapigana na mwenzako halafu ulivyoona unazidiwa ukamuimba mume wako akusaidie kuingilia ugomvi lakini bado licha ya mume kuingilia ugomvi hamjafanikiwa kumdhibiti mbabe wenu.
Hapo utatoka unashangilia wewe ni mshindi ama ni dhaifu?
Hii ni calculated mission kuharibu vinu vya iran sio vita mkuu.
Iran hatakiwi kuwa na nyuklia kwa mujibu wa nani?Walijua kuwa hawatakiwi kuwa na nyuklia lakini walikuwa navyo kibishi kwahiyo uwezekano wa kuwa na plan zingine walikuwa nao. Hata hivyo mashambulizi ya marekani huenda hayajaharibu kabisa na huenda Iran ina site zingine ambazo wanazijua wao wenyewe.
Hata leo hii wakiamua kuuteketeza utawala huo wanaweza!! Wairani wameishi maisha magumu miaka yote kisa vikwazo vya kutengeneza nyukria leo yako wapi?!!hao warusi,china na N.korea wako wapi?umemalizika kivipi wakati utawala wa maayatollah bado unadunda?
Ni marekani na israel wanavyosema. Kama kumiliki nyuklia ni haramu wazitoe zao ziharibiwe.Iran hatakiwi kuwa na nyuklia kwa mujibu wa nani?
Na Israel na Marekani wao wanazo hizo nyuklia.
Nani aliwapa wao ruhusa za kuwa nazo hizo silaha?
Ukiielewa western power wala huumizi kichwa mwisho wake utakuaje.Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
Alikua hana ila ndio alikua anaanza mchakato,wahuni wamemuwahi.Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Mbona akiamua kuwaua wote hata leo tu siku haiishi!!Iran ni axis of evil!!mfadhiri mkubwa wa ugaidi duniani ni IRANKwahiyo Marekani tayari ameuondoa uongozi wa Ayatollah ambao wanasema ndiyo kikwazo?
Statement ya Trump inaonesha dhahiri ni uoga uliomjaa hakuna chochote cha maana alichofanikiwa.
Haiwezi tokea mana muiran anapambana mwenyewe,unless mrus na mchina waingilie kati.Duuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
wanacheka kwa sababu mbabe wa mashariki ya kati katuangwa nyuklia zake alizokuwa anatishia kuangamiza israelKuna watu wanacheka sijui nini kinawachekesha.
View: https://www.instagram.com/p/DLIK-phNW_0/?igsh=YjZ0OWg2dmhqaGs0
Kila taifa lina haki ya kuwa nazo hizo silaha.Ni marekani na israel wanavyosema. Kama kumiliki nyuklia ni haramu wazitoe zao ziharibiwe.
Huyu nae apunguze mikwala,kasakiziwa vita na Ukrain kashindwa kuonyesha uwezo wake mwaka wa tatu huu sasa anatolewa kamasi,sasa hivi anajifanya tena kuchimba biti Iran...Kuna watu wanacheka sijui nini kinawachekesha.
View: https://www.instagram.com/p/DLIK-phNW_0/?igsh=YjZ0OWg2dmhqaGs0
Marekani Ni IsraelSasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Hana Msaada kabisa kwa washirika wake.Sio Kiongozi wa kutumainiwa kwenye jinsi kama ambayo wengine wanamtumainia USA.Huyu nae apunguze mikwala,kasakiziwa vita na Ukrain kashindwa kuonyesha uwezo wake mwaka wa tatu huu sasa anatolewa kamasi,sasa hivi anajifanya tena kuchimba biti Iran...
Mwaka wa tatu huu anamiliki mikoa mitano sio mchezoHuyu nae apunguze mikwala,kasakiziwa vita na Ukrain kashindwa kuonyesha uwezo wake mwaka wa tatu huu sasa anatolewa kamasi,sasa hivi anajifanya tena kuchimba biti Iran...
Unabii gani?Biblia ina unabii flani hata kama ni porojo wasemavyo watu flani, mbona yaliyoandikwa yanatokea vile vile kama ilivyotabiriwa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Iran ana nyuklia gani? Mbabe wa wapi? Amewahi shambulia Nchi gani?wanacheka kwa sababu mbabe wa mashariki ya kati katuangwa nyuklia zake alizokuwa anatishia kuangamiza israel