Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Iran kama ni mwanaume apige USA moja kwa moja ili vita iwe tamu zaidi mana sasa hv n majaribio πŸ˜‚
 
Ngoma bado ngumu.
Iran imeshambulia tena Israel asubuhi hii na imeapa kuendelea na vita.
Kitendo cha USA kuingilia inamaana Iran inashambuliwa na nchi 2 hilo sio jambo dogo.
Still Iran ni kidume aisee .
Ngoja tuone yajayo.

Ila nionacho USA na Israel walishajipanga kwaajilo ya Iran.

Urusi kuna kaujinga sidhani kama katamtoka.Kuangalia wenzie wakibondwa ila yeye anajiweka pembeni kuangalia anguko lao ni kosa sana.

Urusi kama anataka awe salama anapaswa ahakikishe nchi zote duniani zenye misimamo ya aina yake hazidondoki.

Vinginevyo akiona wenzie wananyolewa yeye atie maji.
 
Kwan hizi vita zimeanza lini, Mbona Israel Hua anawatwanga hapo Middle East bila hata msaada wa USA
Aendelee basi kuwatwanga waajemi kama anavyowatwanga wapalestina tuone.

Kumbuka waajemi wanachezea vikwazo vya kiuchumi toka 1979(wewe hata hujulikani lini utakuwepoπŸ˜…)
 
Mbwa kachapwa mwenye mbwa kajitokeza sasa. Sisi Wayunani tulikuwa tunataka kumuona mwenye. Sasa ni muda mwafaka wa kuamusha majeshi yetu toka Yemen
 
Aendelee basi kuwatwanga waajemi kama anavyowatwanga wapalestina tuone.

Kumbuka waajemi wanachezea vikwazo vya kiuchumi toka 1979(wewe hata hujulikani lini utakuwepoπŸ˜…)
Mpigwe mara ngapi
 
Mbona huu uhuni hakuufanya kwa Urusi? Umeandika maneno mengi ila hayana msingi.
 
Taja mataifa yote yenye silaha za nyuklia na idadi, taja mataifa ambayo yana kiburi kama waajemi na hawaguswi....
Mnawaonea tu hao jamaa ila kuna mataifa kibao yanamiliki silaha za kinyuklia na hamna ubavu wa kuyagusa.
 
Sijaropoka, ila nimesema kitu ambacho hukutaka kusikia.

Pamoja na yote fahamu USA nae anaangalia masilahi yake.

N kweli USA hua anazingua kwa kuchochea vita kwa wengine, hilo sikupingi mkuu, ila kaa ukijua USA ndie ana-balance mambo.
 
Kwa support ya πŸ‡ΊπŸ‡Έ waajemi watapigwa, ila toe to toe mzayuni hawezi kumpiga muajemi, tena ambaye anachezea vikwazo vya kiuchumi miaka 46 sasa.
Duh kwan mara ngapi Israel anawapasua hao waajemi bila msaada wa USA, em fuatilia utaelewa
 
The Northrop B-2 Spririt Bomber, also known as the Stealth Bomber completely destroyed 3 Iranian Nuclear Sites using Bunker Buster bombs, each has 30,000 pounds. Hili dege ni zaidi ya hatari..!!




US hatari sanaaa! 🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
 
Ngoma bado ngumu.
Iran imeshambulia tena Israel asubuhi hii na imeapa kuendelea na vita.
Kitendo cha USA kuingilia inamaana Iran inashambuliwa na nchi 2 hilo sio jambo dogo.
Still Iran ni kidume aisee .
Mapenzi yatakuua ww, ila ukweli unaujua πŸ˜‚

Iran kushambuliwa na nchi mbili ndo unamuona kidume πŸ˜‚

Mbona nchi kama 20 za kigaidi hapo Middle East mnamshambulia Israel tangu kitambo na bado Israel yupo tuu anagawa dozi.

Nan kidume hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…