Hizo vumbi kwenye miguu zinakupa picha ni watu gani.
Uzuri kila kitu openAthari kwa Iran haziko restricted?
Unyama 😂Mambo yenyewe kama haya.. wawahi tuView attachment 3378588View attachment 3378589
Mwanzoni nilidhani una akili, kumbe hujui hata unachoulizwa.
Siwezi kumjibu mpumbavu ...Endelea nitakujibu.Mwanzoni nilidhani una akili, kumbe hujui hata unachoulizwa.
Acha umaku wako tumia akili.Sa wewe kenge uliona wapi nuclear ikapigwa bila kutoa radiation hio itakuwa kisima cha maji basi hahaha
Alikuwa anajua vizuri kama anawindwa ola naamini kiko kitu anajivunia mpaka sasa maana bado kashambulia Israel na kasema US jibu lake linakuja inapokuwa inaonekana moja ya nchi ambayo viwanda vyake vya nuclear viko safe zaidi basi ni Iran maana licha ya shambulizi ilo ila bado vinaweza kutumika baada ya marekebesho machache.Iran ilichelewa sana kusoma alama za nyakati.
Israel katandika proxies zote za Iran zilizo Palestine, Syrian, Lebanon na Yemen ili kupungiza tishio, then kamuanza Iran mwenyewe kwa kupiga mifumo na miundombinu ya kijeshi na baada ya kumaliza na hiyo Fordow .... sasa wanaingia mtaan kuchinja kuku wawili watatu na kuyia hadara kidogo za uwekezaji mkubwa then wawaache Iran waaanze vikao na matamko
Ebu nenda ukasome kwanza
View attachment 3378618
Hata yeye anatandikwa tu, kumbuka muajeni hana support kivile ila muisrael anasaidiwa na swahiba wake 🇺🇸.Ila Israel kaweza peleka ndege na kupiga kila siku.
Hadi uone B2 imeingia Iran maana yake anga lote li salama
Atapewa kipigo kisicho simuliwaNgoja tuone majibu ya Iran baada ya kipigo cha US. Hapo middle east panaweza kuwaka moto pote ikiwa Iran itaamua kushambulia vituo vya kijeshi vya US vilivyopo middle east.
Israel ni laana katika hii dunia.
Dunia ndivyo ilivyo.Ukiwa mnyonge wanaweza kukufanya chochote.Iraq iliwai kuvamiwa na marekani wakamuua sadam hussein wakimtuhumu kua na Nuclear.Inawezekana zinatafutwa sababu zakumuangamiza muiran.Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Mbona kinyonge sana OstadhHabari za mjini ndio hizo haya tusubiri matokeo
Lakini hajauawa mtu ..si ndio?Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Us na Israel wakishambulia raia, hii itaamsha hasira na huruma dunia nzima.Marekani na Waisraeli ni wajinga badala ya kupiga pia Miji ya Iran kama Iran inavyopiga makazi ya Raia Israel, hao Iran hawawezi kusalimu amri wasipoumizwa, unafuata sheria wkt unapigana na magaidi wasiokuwa na huruma na wewe kisa ni myahudi au mkristo.
Duh!Namalizia kuiwekea fremu picha ya hili dubwana niliweke sebuleni ,jinsi lilivyotawanya madevu mji mzima hiyo janaView attachment 3378634