MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Haya sasa ndio mahaba niue, yaani now Iran itakuwa kama Syria kila siku Marekani na Israel watakuwa wanaenda kupiga...Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Hapana! hawana msiamamo mkali, ni wasomi hawababishwi wala hawadanganywiIli ogopesha Sana Sanaa unajua waislamu wa Iran Wana misimamo mikali Sanaa
Umeangalia kilichotokea Tel Aviv! Unaweza kusema wamedandia mtambwiSEMA SAFARI HII WAMEPANDA/ WAMEDANDIA MELI YA VIBWENGO.
Russia mjanja janjaDuh lakini angewapa hata week maana Russia alianza kumshawishi Iran ku negotiate
Sidhani kama Iran imepigwa na Israel.Hata awe na Plan gani, Iran udhaifu wake mkubwa ni kupigwa na Israel ndani ya siku 8, means now walichobaki nacho ni Uranium
Hatareee sanaa mkuu yaan mtu anajua mpaka uvunguni mwako for sureSasa kama majenerali waliuliwa chumbani unadhani wataficha wapi hizo Uranium
Hacheki na kimaHuyu trump wa sasa mbona ni tofauti kabisa na yule aliye tawala awamu ya kwanza?
Ilikua katika maandalizi ya mwisho ya kumiliki bomu la nuclear. Wameidhibiti mapema sana. Kichaa hawezi kupewa rungu. Naunga mkono hatua ya Marekani na Israel kudhibiti utawala wa kigaidi wa TehranIran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Ulitegemea Iran aseme tofauti na hivyo?.Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Atatoa picha zote lakini kipigo dhidi ya magaidi wa tehran kiko pale paleDogo WA Gaza umeamua kutoa picha ya Michael Jackson akiwa mdogo Na kuweka ya Ayatollah?
Baada ya koswakoswa na risasi afu mhusika ikasemekana ni mu Iran ndo akaamua kuwa mwehuHuyu trump wa sasa mbona ni tofauti kabisa na yule aliye tawala awamu ya kwanza?
Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.Sasa kama majenerali waliuliwa chumbani unadhani wataficha wapi hizo Uranium
Mkuu,Hapana! hawana msiamamo mkali, ni wasomi hawababishwi wala hawadanganywi
Umeangalia kilichotokea Tel Aviv! Unaweza kusema wamedandia mtambwi
Labda nikuulize, ungekuwa wewe Iran ungefanya nini?
Iran ina nguvu za kijeshi ila ukiweka mizani na akina US na Mdogo wake Israel wamemuacha mbali sanaMmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
Mkuu yale mashambulizi ya Israel yalikua kuharibu na kuweka kwenye hatari ya kuwa karibu na hiyo miundo mbinu unahamishaje hapo mkuu?. Maana kukaa maeneo lengwa ni hatari sanaKama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.
Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
War propaganda za Iran Umenikumbusha vita vya Kagera HAAHAAMimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.
Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha
View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ
ππ Biti lao unaweza jitangulisha mwenyewe KUZIMU ππ maana mpaka process za MILANGO YA KUZIMU ifunguke utakuwa umejitesa sana bila sababu ππIli ogopesha Sana Sanaa unajua waislamu wa Iran Wana misimamo mikali Sanaa
SEMA SAFARI HII WAMEPANDA/ WAMEDANDIA MELI YA VIBWENGO.
Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.
Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha
View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ
Sahihi mkuuIran ina nguvu za kijeshi ila ukiweka mizani na akina US na Mdogo wake Israel wamemuacha mbali sana