Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Hata UN inspectors waliionea sana Iran kwa kusema Iran is not complying with nuclear safeguards
 
Mkuu yale mashambulizi ya Israel yalikua kuharibu na kuweka kwenye hatari ya kuwa karibu na hiyo miundo mbinu unahamishaje hapo mkuu?. Maana kukaa maeneo lengwa ni hatari sana
Iran ilipaswa kuwa na hizo alternative plans, regardless.

Walipaswa wapange mipango yao kana kwamba wanajiandaa na kushambuliwa.

Watu wenye akili ndo wanapaswa ku operate hivyo.
 
Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.

Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Technology imekua Sanaa mkuu na mmarekani na muisrael hawashindwi kuwa na ma agent wao ndani Tena sehemu nyeti nyeti ipo ivyo na huwezi jificha au FICHA KITU.
 
Mkuu,
EMBU angalia ISRAEL ANAPIGANA WITH TACTICS.
Israel imeua raia wengi, imepiga Tehran mtaa mzima! Imeppiga Hospitali
Ingalikuwa inapiga with tactics Gaza isingekuwa kifusi
IRAN INA RUSHA HYPER SONIC MISSILES NA DRONES OVYO OVYO KAMA MLEVI ANAPIGA MAKAZI YA WATU WASIO NA HATIA JE? INGEKUA VICE VERSA SI NDIO MNGETOA KILA MLIO
Watu wengi hawaelewi. Drone zina maana yake si kwa sababu ya ku inflict pain.
Iran inatumia Drone kupata habari. Unakumbuka mwaka jana wlaituma drone tena wakitangaza tarehe na saa zitakapoondoka. Leo vituo vya Iron dome vinapigwa, Drone zilishapeleka habari

Mabomu waliyotumia yalikuwa ya miaka 25 hadi 30 yakifanyiwa upgrade. Walitumia makusudi ili kuchosha mifumo ya ulinzi ya Israel. Unaona Israel inavyopoke kipigo sasa hivi!
Juzi walionyesha cluster BOM wakiwa na Hypersonic Missile

Iran wana akili sana! wana vikwazo zaidi ya miaka 15 bado wanamdunda '' super power Israel''

Leo IDF ina operate kutoka UK base kule Cyprus.
Fikiria , Israel hawawezi kushambulia kutoka nchini kwao, ni kwa msaada wa UK na US
MFANO INGEKUA ISRAEL ANA ENDA KWENYE MAKAZI YA WATU NA KUDONDOSHA MABOMU MAZITO MAZITO SI INGEKUA CRIME AGAINST HUMANITY]
Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema almost 90% ya mashambulizi ya Iran yamelenga maeneo ya kijeshi
Wewe ni nani kuliko Mu Israel ?
Lakini angalia idadi ya watu waliokufa. Israel haijafika 50, Iran 600 huoni kitu hapo
ANACHO FANYA IRAN NI KAMA MTU ALIE CHANGANYIKIWA FOR SURE NA VITA VINAENDA MWISHO
Iran inapiga kwa precision ! makombora yanatua wanapotaka wao!
 
Iran ilipaswa kuwa na hizo alternative plans, regardless.

Walipaswa wapange mipango yao kana kwamba wanajiandaa na kushambuliwa.

Watu wenye akili ndo wanapaswa ku operate hivyo.
Sahihi kabisa mkuu. Iran wangetumia akili kubwa wangefanikiwa Hata kwenye nyukilia. Lakini unaanza plan tu matangazo kibao Tena ya kuifuta Israel. Si wangekaa kimya bila matangazo ya kipumbavu Kama ya kufuta nchi fulani. Mpaka mpango wao ukamilike
 
Kwa Ukweli uwezi kuishinda Israel wkt uwo uwo Babake yupo na Bado ananguvu kwenye eneo !!

kwasasa vita ipo kwenye kipimo chake rasmi m

mimi binafsi nilitamani Marekani nayeye awemo Vitani !!

ili Iran na Washilika wake waamue cha kufanya !!

Ukweli Marekani ana kambi nyingi eneo ilo na ndio kikwazo kwa Ukombozi wa Palestina !!

tujipe week tutaweza kuitasmini Vita.
 
Technology imekua Sanaa mkuu na mmarekani na muisrael hawashindwi kuwa na ma agent wao ndani Tena sehemu nyeti nyeti ipo ivyo na huwezi jificha au FICHA KITU.
Hahaaa hao hao Israel na US walishindwa kuubaini ukweli kuhusu silaha za maangamizi za Iraq.

Colin Powell na Benjamin Netanyahu wakati wanatoa ushuhuda wao mbele ya kamati za umoja wa mataifa na bunge la senate, waliweka hadi vielelezo vya picha kabisa za hizi sikaha za Iraq.

Mwisho wake ilikuwaje?
 
Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.

Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Issue itaficha wapi Visilipuliwe... Kama Israel ilikuwa inajua mshauri mkuu wa Ayatollah anakaa chumba namba ngapi unadhani hawatapata Taarifa?

Iran wanamakosa kadhaa, 1. Kufananisha propaganda na nguvu, 2. Kutokuunda Nuclear, 3. Kuingia kwenye mazungumzo
Iran kwenye mazungumzo yao USA waliingia kama mshirika dhaifu so kila walichosema CIA wakawa wanatumia kuchambua Taarifa
 
Povu!! Umepigwa wapi unaumia hivyo wewe mswahili mweusi tii wa matombo? Kunywa maji ukalale sasa
 
Yes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.
IAEA pia wamethibitisha hakuna madhara yalio tokea kwenye hizo 3 Nuclear Facilities si ajabu hata Iran asimjibu USA, akaendelea kumtandika Israel. Hakuna walicho fanikisha USA kwenye hicho kipigo au Israel

US na Israel wamepata shock hakuna walicho gain Nuclear za Iran ziko sehemu ya usalama kabisa.


View: https://youtu.be/5paDgFWU4qI?si=v9DNxeHlB1NQJLFB
 
Uo ndio ukweli
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Mchunguzeni huyo hayatola wenu: labda ni undercover wa Israel pia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ