Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hoja namba moja marekani ni kiranja wa dunia hivyo Ina mbidi kuwakemea wotee wanao kua tishio kwa ustawi wa dunia kuwa sehemu Bora na salama ya KUISHI.Israel imeua rais wengi, imepiga Tehran mtaa mzima! Imeppiga Hospitali
Ingalikuwa inapiga with tactics Gaza isingekuwa kifusi
Watu wengi hawaelewi. Drone zina maana yake si kwa sababu ya ku inflict pain. Iran inatumia Drone kupata habari. Unakumbuka mwaka jana wlaituma drone tena wakitangaza saa zitakapoondoka. Leo vituo vya Iron dome vinapigwa kwasababu Drone zilishapeleka habari
Mabomu waliyotumia yalikuwa ya miaka 25 hadi 30 yakifanyiwa upgrade. Walitumia makusudi ili kuchosha mifumo ya ulinzi ya Israel. Unaona Israel inavyopoke kipigo sasa hivi!
Hawa wa Iran wana akili sana! Yaani wana vikwazo zaidi ya miaka 15 bado wanamdunda '' super power Israel'' Leo IDF ina operate kutoka UK base kule Cyprus. Fikiria kwamba Israel hawawezi kushambulia kutoka nchini kwao, ni kwa msaada wa UK na US
Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema almost 90% ya mashambulizi ya Iran yamelenga maeneo ya kijeshi
Wewe ni nani kuliko Israle yenyewe?
Lakini angalia idadi ya watu waliokufa. Israel haijafika 50, Iran 600 huoni kitu hapo
Iran inapiga kwa precision ! makombora yanatua wanapotaka wao!
Ushabiki utawatia stress huu mwakaIAEA pia wamethibitisha hakuna madhara yalio tokea kwenye hizo 3 Nuclear Facilities si ajabu hata Iran asimjibu USA, akaendekea kumtandika Israel. Hakuna walicho fanikisha USA kwenye hicho kipigo au Israel
Tupo pamoja mkanganyiko kuchanganya 😁🚮🚮
Mchunguzeni huyo hayatola wenu: labda ni undercover wa Israel pia 😂😂😂😂
Aisome adiosamigo 😁😁Hao pro iran wamechanganyikiwa wanaongea tu kila kinachowajia kichwani.
WEATHER = WHETHERHoja namba moja marekani ni kiranja wa dunia hivyo Ina mbidi kuwakemea wotee wanao kua tishio kwa ustawi wa dunia kuwa sehemu Bora na salama ya KUISHI.
Israel ALIPIGA GAZA sababu ya magaidi ya Palestine kutumia HUMAN SHIELD ikawa yanajificha kwa raia wema kwenye hospital,mashule e.t.c hivyo Israel hakua na namna Ila KABLA ya kulipua walikua wanatoa ULTIMATUM kwa raia wema.
Unajua ideology ya uislamu ni hatare Sana maana huwa hawaogopi kufa hata hao wairan Wana amini wanaenda kupewa mabikra 72 wakifa Katika Imani yao
All in all, suluhisho la muda mrefu la middle east limeenda kujibiwa this time na mmarekani na muisraeli WEATHER YOU LIKE OR NOT.
kweli hakuwa nayo lakini alikuwa busy kuitengeneza ili kuisafisha Israel kwenye ramani, ulitaka Israel na mshirika wake US wafanyeje?Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
US ni kivuli cha IsraeliNilisema Israel ni nchi kivuli ya USA, naona sasa nhi husika yenyewe imeamua kupiga moja kwa moja. Who is next? Maana nchi kivulo ni maalum pale kuelekezwe piga yule, piga na yule
Mshirika wa Iran Russia aliangalia usalama wa wataalam wake 200 tu na kuiomba Israel kuwaangalia wasipate madhara na Israel akajibu watazingatia Hilo. Hawa watu ni kitu kimoja mkuu. Wajanja sana. Putin kwenye yote kaangalia watu wake tuKwa Ukweli uwezi kuishinda Israel wkt uwo uwo Babake yupo na Bado ananguvu kwenye eneo !!
kwasasa vita ipo kwenye kipimo chake rasmi m
mimi binafsi nilitamani Marekani nayeye awemo Vitani !!
ili Iran na Washilika wake waamue cha kufanya !!
Ukweli Marekani ana kambi nyingi eneo ilo na ndio kikwazo kwa Ukombozi wa Palestina !!
tujipe week tutaweza kuitasmini Vita.
It’s not even late. Iran inaweza kabisa kujitoa kwenye NPT na kuanza mchakato wa kutengeneza bomu na uwezo huo wanao kabisa.It's too late mkuu
Ok nimeanza kusinzia hapa Ila ume elewa nilicho maanisha 😊WEATHER = WHETHER
Kabisa mkuuUo ndio ukweli
Kuna vitu Watanzania hawavielewi na wewe ni mmoja wapoHata UN inspectors waliionea sana Iran kwa kusema Iran is not complying with nuclear safeguards
Ingalikuwa hivyo US wasingemtengeneza Osama aliyewapiga wenyewe! Alqaeeda ni zao la MarekaniHoja namba moja marekani ni kiranja wa dunia hivyo Ina mbidi kuwakemea wotee wanao kua tishio kwa ustawi wa dunia kuwa sehemu Bora na salama ya KUISHI.
Makao makuu ya IDF na MOSSAD yapo katikati ya makazi. Zile Iron Dome zipo Tel Aviv kati kati ya makaziIsrael ALIPIGA GAZA sababu ya magaidi ya Palestine kutumia HUMAN SHIELD ikawa yanajificha kwa raia wema kwenye hospital,mashule e.t.c hivyo Israel hakua na namna Ila KABLA ya kulipua walikua wanatoa ULTIMATUM kwa raia wema.
Propaganda tu! Russia wana idelogy gani? Ukraine wana idelology gani?Unajua ideology ya uislamu ni hatare Sana maana huwa hawaogopi kufa hata hao wairan Wana amini wanaenda kupewa mabikra 72 wakifa Katika Imani yao
Well, kwa uelewa wako sikulaumu!All in all, suluhisho la muda mrefu la middle east limeenda kujibiwa this time na mmarekani na muisraeli WEATHER YOU LIKE OR NOT.
Hili jamaa linatia hasiraa
We kenge toka lini Nuclear ikapigwa kukawa hakuna chemical contamination and radiation katika hizo zote 3 nuclear facility.🤣 🤣 🤣
Ushabiki utawatia stress huu mwaka
Hio ndo USA mzee
Iran aliondoa kila kitu kwenye hizo 3 Nuclear facilities tena ni mda mrefu waliondoa, Iran ndio wanawacheka sasa US na Israel kupoteza mamillions kama si .It’s not even late. Iran inaweza kabisa kujitoa kwenye NPT na kuanza mchakato wa kutengeneza bomu na uwezo huo wanao kabisa.
Kwa moto waliopelekewa, nuclear hawatajaribu tena na ugaidi wataacha kabisa, Ayatollah kwenye bunker lake sasa anashukuru mungu maana Israel na US wamepata walichopata hopefully watamwachaIt’s not even late. Iran inaweza kabisa kujitoa kwenye NPT na kuanza mchakato wa kutengeneza bomu na uwezo huo wanao kabisa.
Mtatoa kila aina ya milio NILETEENI TRUMP NILETEENI TRUMP NILETEENI TRUMP.Hili jamaa linatia hasiraa
Kama vile Taliban walivyoacha eeh?Kwa moto waliopelekewa, nuclear hawatajaribu tena na ugaidi wataacha kabisa, Ayatollah kwenye bunker lake sasa anashukuru mungu maana Israel na US wamepata walichopata hopefully watamwacha