Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wewe ni kiazi kweli kweli,tena kilichooza usiyejua chochote hapa nchini
 
Watu wanazungumzia ukabila na ukanda,unapoingia watu hua wamoja maana wakkpigwa kutoka kanda nyingine,utakubali kuona nduguyo akipigwa na kunyanyaswa?au unaongea tu kufurahisha genge
 
Hivi ni wizi wa kura au wingi wa wasukuma ndio kunampa mtu urais?
 
Haya ni maajabu! Mnakimbia kivuli chenu wenyewe?
Ghafla mmekuwa underdogs kwenye ramani mliyoichora?
 
Wewe ni Mzee na Mkongwe Humu.. ila kwa Hoja zako hizi Unazeeka Kipumbavu.
 
Wewe ni Mzee na Mkongwe Humu.. ila kwa Hoja zako hizi Unazeeka Kipumbavu.
Kutoa matusi hakufanyi hoja zako ziwe kweli! Watu wapumbavu kama wewe huwa ni wepesei sana kudhani wengine wote wasiokubaliana nao ndio wapumbavu. Jimbo ni kanda; sera za majimbo ndiyo siasa za ukanda zenyewe, na ndiyo chanzo cha kuelekea siasa za ukabila. Elewa hilo.

Mwaka 1971 wakati Nyerere anaweka jiwe la msingi shule ya sekondari Tarime, raia walisema walikuwa hawana shule ya sekondari, kwa hiyo walikuwa wanataka kujenga ya kwao wilayani mwao iwapo serikali haitawajengea. Nyerere akasema kuwa shule yoyote iliyoko ndani ya mipaka ya Tanzania, ni ya Tanzania nzima. Shule itakayojengwa Tarime ni ya Tanzania nzima itapokea watoto kutoka sehemu zote za nchi. Raia walitaka kuleta uwilaya yeye akawafundisha utanzania. Leo chadema wanataka kuturdisha huko.
 
Masukuma majinga sana sasa mbona unamtukana mwenzio kisukuma.
 
Mawazo mgando
 
..mwaka 1995 / 2000 chama cha udp, kilichoanzishwa na john cheyo, kilikuwa kinapigwa vita na ccm kuwa ni chama cha kikabila cha wasukuma.

..kipindi hicho pia " kanda pendwa " ilikuwa ni mikoa ya kusini.

..Kabla ccm hawajamtangaza ben mkapa kuwa mgombea wao, wamachinga walikuwa wakimuunga mkono augustino mrema.

..Baada ya ben mkapa kupitishwa na ccm, ikapigwa kampeni ya ukabila, na wamachinga wakamtupa mrema na kumuunga mkono mkapa na ccm.

.." mahaba " kati ya ccm na wasukuma yameanza baada ya magufuli kuwa mgombea kwa ticket ya ccm. Kabla ya hapo watawala wa ccm hawakuwajali wasukuma, bali walikuwa busy kuchota dhahabu kimabavu toka maeneo mbalimbali ya usukumani.

..ccm inapokuwa ktk " mahaba " na kabila fulani, lazima watengeneze kabila " adui, " na katika awamu ya 5 maadui ni ndugu zetu wa...
 
Kabisa
 

..ccm inakwenda kuunda kabila lingine pendwa ktk awamu ya sita.

..sasa inabidi wasukumu mjipange kama mtakwenda na upinzani, au muendelee na ccm ambako hamtakuwa wapendwa kama wakati wa Magu.

..pia mjiandae kwa mashambulizi toka kwa wana-ccm wenzenu wanaopendwa na utawala mpya. mabaya yote ya utawala wa awamu ya tano lawama zake zitaelekezwa kwa wasukuma.

..wanaofuatilia HISTORIA ya mabadiliko ya utawala / uongozi hapa Tanzania watanielewa.
 
Sawa wachaga ni wasisi wa ukabila, Jiwe badala kuwadhibu, nae akaendeleza ukabila na ukanda
 
Na ni wachaga ndio wanaoletaga hii mijadala.
who told you that?? watu kama nyie mpo brainwashed sana, ukanda sio ishu focus na kazi upatee riziki yako sio ajabu huyo msukuma wenu na wenzako wasukuma walio vitengo hawajawahi kukusaidia hata kula yako lakini unawapigia makofi, DAMN SHIT! What a shame on you poor man.πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…