Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mchwa mpaka sie tunaingia form one Aza boy ndio alikua ametoka kupata kesi ya kumpiga denti mpaka akazimia!!!!Akapigwa marufuku kuchapa wanafunzi!!!!!Daaah kweli wewe aza boy kitambo🤣🤣🤣🤣Mchwa mpaka.....Azania
Mchwa mpaka huyo🤣🤣🤣🤣Aza boyWalimu wakali hawamalizagi ualimu wao kwa amani, sijui kwa nini?
Unamaanisha Sir David? (Bonjour)Mchikichini seco
Old moshi Sekondari - Huwezi kuitaja hiyo shule ukamuacha Headmaster aliyejulikana kama - Mtui (Mr)Mwalimu Kishazi Mawenzi sec,
Head master Mr Lwamwasi Old Moshi Sec,
2008 mpaka 2010 mkuuKimbunga'😀, ,mkuu ni mwaka gani umepita Kwiro?
Umenikumbusha mbali. Nilikuwa pale 1981 mpaka 1984. Mpande namkumbuka sana kwenye mchakamcha saa 11 asubuhi.5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
Pole sana. Haukuwa uonevu, ame- shape sana maisha yetu.Daah huyo Mwl Mpande wa Moshi tech alikuwa ni mbabe wa kupitiliza alikuwa anaonea sana wanafunzi saa 11 asubuhi alikuwa anakuja bwenini kuwaamsha wanafunzi kwa bakora
Mwalimu Walter jina la utani aliitwa Kimbunga wakati nasoma shule ya sekondari KWIRO huyu mzee alikuwa ni mkorofi haswa bahati mbaya sana nimeajiriwa nikakutana naye tena halmashauri moja huko Singida alipewa cheo cha MTAALUMA wa sekondari aliendelea na tabia ile ile ya kunyanyasa watumishi hasa walimu ,kutokana na tabia mbovu alitimuliwa saizi yupo Singida mjini anatembeza mafaili .
Upo sahihi mkuuKimbunga alikuja kuchukua nafasi ya kandoro..
Kandoro nae alikua anatupelekesha na jorgin asubuh…
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana, ila wanafunzi kwa kutungia walimu majina [emoji119]Mwalimu 'Macho kumchuzi' [emoji16]
Alikuwa akikuangalia ni kama alikuwa anaomboleza hivi. Macho yalikuwa yanatokatoka mchuzi!
Mwalimu 'Mabangi' [emoji16]
Alikuwa akikohoa, nikama alikuwa akihitaji mapafu yatoke nje! [emoji23]
Mwalimu 'Kishundu'
Huyu kishundu sasa ndio ilikuwa balaa, sisi tulikuwa tunapenda aandike tu ubaoni tutajisomea wenyewe! [emoji23]
Natunza ID zao, ila kama mmo humu, mnajua kabisa majina yenu. [emoji16]
Bush mojaDDUNGU @ Dume la Kanda