Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's

Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Blood group haihusiani na kuugua.
 
Ngoja nikachanje tena. Ile ya Johnson walisema inakaa miaka mitatu.
 
Huo ugonjwa upo na umesha nipata mara mbili zote nikiwa Daslam hapo ni balaaa huku mkoani naona nafuu kidogo sijawai upata tena.
Unakuondoa huku unajiona usipo pata tiba.
 
Uviko -19 imerudi Mtaani, lakini Mamlaka hazijaruhusu itangazwe.

Kila mmoja achukue tahadhali huko alipo.
Ila huwa wizara wanatoa takwimu kila mwezi za magonjwa ikiwemo UVIKo 19
 
Nadhani serikali iingilie kati hili suala kupitia Wizara ya afya wabaini eneo husika lenye cases hizi, wapige quarantine huku uchunguzi ukiendelea kubaini shida ni nini.

Vinginevyo yanaweza kutokea maafa tukashidwa kuyadhibiti hali ikawa mbaya zaidi.
 
Nmefatlia kwa kina noidhani umekutwa na jiwe baada ya vipimo, kumbe mafua!
 
Tuwe makini kwa kweli..
 
Mimi ndio napona, pua zilikua zinatiririka maji ya uvugu vugu
Pole sana na ukiwa unaelekea kupona unavoamka unatoa kohozi zito mithili ya gundi na pua zina zibuka na mafua makali yaliyoziba mithili ya gundi ya maji ya karatasi..
Sasa mafua gani haya kama sio yale ya 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…