Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Acha kuandika upumbavu.
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
 
And what difference does it make? Ndege ya Rais tulishanunua Leo kaamua kupanda dude tu.
 
Sasa hivi nasikia ndege wanao tua pale ni wale tai wa kushika samaki
Kuna jamaa wanadai (kama ni kweli) kuwa wananchi wameomba wawe wanaanikia mazao yao kwenye runway na watautunza uwanja vizuri tu. Hakuna matarajio ya ndege kutua hivi karibuni
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Kwani hakuna ndege ya Rais..
Acheni kutetea upumbav na wizi Tumepigwa sana na huyu jamaa na genge lake...
Yeye si alikuwa anaenda na magari 180, means msafara watu zaidi ya 200 !!
 
hawa ndo wasomi wa jf badala ya kumuelimisha mtu wanamtukana
 
Unamaanisha mleta uzi ni mwanafunzi wa Haji Manara?
 
Kuna watu wanajua Tanzania ya miaka mitano tu...ndio wanaongoza kwa hizi posti
 
Ninachokiona humu JF wengi ni wasomi wasiokuwa na maarifa kama alivyo Prof. Assad. Mfano mzuri wa mtu asiyekuwa na elimu lakini ana maarifa ni mbunge wa Kahama ndugu kishimba. Dunia ya leo inatakiwa uwe na maarifa zaidi kuliko kuwa profesa bila maarifa.
 
Kwani hakuna ndege ya Rais..
Acheni kutetea upumbav na wizi Tumepigwa sana na huyu jamaa na genge lake...
Yeye si alikuwa anaenda na magari 180, means msafara watu zaidi ya 200 !!
Unaijua ndege iliyotumika leo?
 
Leo kapanda ipi kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…