Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Yes kama maisha yako hayana nidhamu...KATAA NDOA...itakunyima "uhuru" unaodhani kuwa ni uhuru

Nidhamu ndio uhuru halisi...kuepuka anasa na starehe kupita kiasi,kuepuka uchafu ngono,uasherati ,uzinzi na yanayoambatana nayo...na kuwa mwaminifu kwa jamii yako

Haya yakifungwa na kumcha Mungu ndio yanajenga jamii ya watu wanaopenda NDOA na kuliona kama jambo la kheri kutoka kwa mwenyezi Mungu

Kupanga ni kuchagua ...katika yote mawili mwisho wake unafahamika
 
Ndoa ni ya watu serious...huyo ukimfuatilia utakuta ameachika tena
 
Hongera kuwa mstaarabu...huyo dada hafai kwa ndoa na hawezi kuoshi kama mke
 
Jitahidi sana katika kutetea dhambi usiseme tumeumbwa hivyo. Ukisema tumeumbwa hivyo moja kwa moja unamkosoa Mungu aliyetoa amri usizini. Kwahiyo mtu akiua aseme tumeumbwa kuua ? Au ukiiba useme tumeumbiwa kuiba? Matukio unayofanya yapo under control yako usipende kusema tumeumbwa hivyo
 
Ndoa inahitaji kujitoa sana....sacrifice......
Tatizo kila mtu huingia huko akifikiri sasa anaenda kula raha/kumaliza matatizo yake yote, bila kujua anaenda kukutana na matatizo tofauti na yale aliyo yazoea na hivyo anatakiwa ajipange kupambana nayo.

Fikiria unaoa/olewa na mkaka/mdada wa watu amesoma na anamisimamo yake kama ya Vasco Dagama halafu wewe ndiye unatakiwa ukaishi naye halafu utegemee mteremko eti kwa sababu ana vihela?
Kuna hitajika sacrifice kubwa na usipo sacrifice ndio hapo michepuko ina anza.....

Kama unajijua wewe sio mtu wa kujishusha/kusacrifice au unamisimamo kama ya Faru John, jitafakari kabla ya kuingia kwenye taasisi ya Ndoa kwani hutadumu huko........
 
Daah ni masikitiko kwa kweli.
Ni bora unaogopa, maana wewe karma lazima itakugonga, mkeo naye atakua analiwa akienda kwao 😂 😂
 
Daah ni masikitiko kwa kweli.
Ni bora unaogopa, maana wewe karma lazima itakugonga, mkeo naye atakua analiwa akienda kwao
hahahahaha! kwa Yesu yote yanawezekana nimetube na maisha yanaendelea na mwaka huu nitafunga ndoa kibishi!
 
Baada ya chuo, kabla ya kupata kibarua,,, kuna pahala nilikuwa nafanya biashara flan.,, kwa nature ya ile biashara wateja wakuu ni wanawake , wanaume pia japo sio sana,,, ! ! Wake za watu ndo usiseme, mtu anakutongoza direct, au anachukua namba yako ya simu, Salam zisizoisha, mara nimekumiss mara awe na wivu na ww,,,yani ujinga ujinga,,, niliruka viunzi sana, nikaja nasa kwa dada mmoja mmewe mhandisi, anasafiri sana mikoan,,, nilichepuka nae mara 2, nikajutia sana nikaacha huku yeye hataki, ulitokea ugomvi mkubwa sana ,,, Sitosahau,,,, sijawahi kutaman kutoka tena na mke wa mtu, ikitokea nmeonesha interest kwa mdada nikagundua kaolewa najikataa mapema sana ,,,
 
Futa kuhusu taasisi na habari za familia yake Fanya editing kidogo
 
Theresa49 sio wote wenye madegree tupo na mambo ya faru John wengine ukituudhi tunanunua mkaa gunia mbili kabisa😅
 
Wewe Ndio nilikua na kutafuta kijana mdogo mimi ndo huyo muhandisi sio kwamba alikuwa anakupenda sana Ila nyota yako tumeichukua Ila tupate kandarasi nyingi na siku si nyingi utapata bonge la busha(😅jokes mkuu)
 
Hilo ntalifanyia kazi

Kuna dada mmoja mnyamwezi aseeh yule nilimpenda for sure, ukiachilia mbali haiba aliyo nayo ya kike ana tabia njema, alikuwa anazungumza kwa ukarimu aseeh yule binti alikuwa kalelewa hasa!
Ikawaje Sasa mkuu?
 
Nyie mnafanyaje mpaka wake za watu wanawapatia mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…