Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Hakuna sehemu yyt katika biblia imetabiri kuwa UISLAMU utatawala dunia.
Hilo hakuna.
Km umeliona weka mstari hapa tujadili.
Nikisema Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia Yesu kasema yeye ni muislam utaacha kumnasibisha na Uislamu ikiwa hoja ni kutajwa?.
 
Walokole kichaa Chao kuna mda kinatulia wakimeza dawa.
 
Kwa hiyo kuja kwake pale kila jicho litakapomwona watakatifu hawatashangilia sababu walishanyakuliwa?
 
Jibu swali acha longolongo.
Wapi Bible imesema waislamu watatawala Dunia?
Najua huwezi jibu nilichokuuliza, kama unabisha nijibu nikuone tofauti na ninavyokuchukulia[ga]siku zote.
So, far Uislam haujatajwa kwa jina ndani ya Biblia bali kwa sifa. Na sifa hizo zote ndani ya Dini zaidi ya Elfu 5 duniani zinaangukia Islam.
 
Mfano pale kawe wapotee wote ubaki na makapu ya sadaka! Miracle money hiyo.
 
Kwahiyo wewe dhambi zako utazilipiaje? Sisi Yesu Kristo alitulipia kwa mateso na kifo chake halafu tukafufuka pamoja naye kwa ubatizo wa maji mengi.
 
Kwa hilo upo sahihi kabisa.

Ila kwamba kuna siku Yesu atashuka kama Arnold Schwarzennegger akiwa na mitambo yake tayari kuwateketeza maadui hilo kwangu ni ngumu kumeza..😄
Mungu akupe neema ya wokovu, utalielewa.
 
We unashangaa hili?
We hujaona Maprofesa wa chuo kikuu siku ya jumapili wanapigia goti sanamu la mzungu wakiliomba msaada na hali wanajua asilimia 100% kuwa limetengenezwa na mtu na likapakwa rangi?

Shetani wacha aitwe Shetani.
Hao wakatoliki wanaoongozwa na roma hawana uhusiano wowote ya ukristo wa Yesu mwokozi. Hiyo ni dini ya kipagani inayoabudu sanamu.
 
Itakuwa ni siku ya kulia Kwa kusaga meno
 
Kwa hiyo kuja kwake pale kila jicho litakapomwona watakatifu hawatashangilia sababu walishanyakuliwa?
Pale atakuja pamoja na kanisa ambalo tayari litakuwa lipo mbinguni. Muda huo Yesu atarudi kwa ajili ya wayahudi maana wanayo fursa ya mwisho kwa miaka saba.
 
Kwahiyo wewe dhambi zako utazilipiaje? Sisi Yesu Kristo alitulipia kwa mateso na kifo chake halafu tukafufuka pamoja naye kwa ubatizo wa maji mengi.

Yaani Wewe UZINI.
WEWE UUE
WEWE UBAKE.
WEWE ULAWITI
WEWE ULE MALI ZA WATU.
Halafu Yesu asie na kosa lolote ABEBE DHAMBI ZAKO ZOOTE wewe ukale bata.

HIvi kweli ndugu zangu upande wa Adam huwa mnafikiri kwa kutumia kichwa?

We wqpi umeona kitu kinaingia akilini?

Amkeni enyi watu.

Msamaha anatoa Mungu PEKE YAKE.

Yaani kwa kupenda shortcuts mnampakazia Yesu mambo machafu kabisa mpk mnadai KAFA KIFO CHA LAANA KWA AJILI YENU.
Dah.....
Kweli siku ya malipo ni nzito
 
Hao wakatoliki wanaoongozwa na roma hawana uhusiano wowote ya ukristo wa Yesu mwokozi. Hiyo ni dini ya kipagani inayoabudu sanamu.
Na wakatoliki wanadai hivyo hivyo kwa WAKRISTO WENGINE.
Sasa nani yuko sahihi?
 
Walokole kichaa Chao kuna mda kinatulia wakimeza dawa.
Utadharau na kukashfu ila ni kweli na leo nakushuhudia nikiwa na akili timamu huku nimetoka Church kuwa siku hiyo kweli ipo na inaujia Ulimwengu wote. Jiandae bro kwa umilele wako.
 
Pale atakuja pamoja na kanisa ambalo tayari litakuwa lipo mbinguni. Muda huo Yesu atarudi kwa ajili ya wayahudi maana wanayo fursa ya mwisho kwa miaka saba.
Twende taratibu.

Unachosema ni unyakuo ni kimya kimya kisha ujio wa YESU utakuwa ni pamoja na walionyakuliwa kuja kuwachukua wayahudi baada ya miaka 7?
 
Mkuu wewe sio wa kwanza kuona neema hii ya wokovu ni upumbavu. Walimpinga mtume Paulo mwenyewe na imeandikwa kwenye sura ya kwanza ya waraka wa kwanza kwa wakorintho.

Cha muhimu kwako ni kumuomba Mungu upate kuelewa mambo haya kabla haujachelewa. Kipindi cha Musa walichinja wanyama kufidia dhambi zao na hiyo ni torati.

Agano jipya Yesu Kristo amechukua ile nafasi ya wanyama kuwa dhabihu ya ondoleo la dhambi kwao waaminio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…