let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Nikisema Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia Yesu kasema yeye ni muislam utaacha kumnasibisha na Uislamu ikiwa hoja ni kutajwa?.Hakuna sehemu yyt katika biblia imetabiri kuwa UISLAMU utatawala dunia.
Hilo hakuna.
Km umeliona weka mstari hapa tujadili.