Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #141
Ukirudi kwenye historia ya roman empire na roman catholic kuanzia Constantine aamue kuufanya ukristo kuwa dini ya rumi basi utaona namna nafasi ya papa ilivyokuwa ya uovu na maangamizi kwa kanisa la Yesu Kristo.Na wakatoliki wanadai hivyo hivyo kwa WAKRISTO WENGINE.
Sasa nani yuko sahihi?
Exactly, kanisa litaondolewa kupisha miaka saba ya fursa kwa wayahudi. Unyakuo litakuwa tukio la kimyakimya. Wale watakaoisikia sauti ya Malaika mkuu ndio watakaoondoka kumlaki Bwana Yesu mawinguni.Twende taratibu.
Unachosema ni unyakuo ni kimya kimya kisha ujio wa YESU utakuwa ni pamoja na walionyakuliwa kuja kuwachukua wayahudi baada ya miaka 7?
Na Kuna wengine waliishi vizuri miaka nenda rudi siku iyo akaenda guest na demu akafia huko huko na moto unamuhusu,hapo hapo Kuna mtu Malaya au shoga wakati wa kifo anatubu na kuongozwa sala ya Toba huyo mbinguni kama yule mwizi msalabani aisee kweli ni hatari sanaMimi nadhani kila mtu na aishi maisha yake. Kama wewe ni kati ya wale wateule, hakika utaingia kwenye utukufu kwa njia yoyote ile. Ila kama wewe sio mmoja wao, hata upambane vipi mzee hutasogea hata getini tu pale..
Refer yule jambazi aliesulubiwa na Yesu, yeye maisha yake yote kaishi kama jambazi akiwa hana hili wala lile, ila kwavile alikuwamo kwenye "list", dakika ya mwisho kabisa mwana kapenya uzimani na kuwaacha mitume wa Yesu waliokaa nae mda wote waking'aa sharubu pale.
Hata ukikata si sola zipo au nazo hazitawaka!?Hahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Nani kakwambia?Exactly, kanisa litaondolewa kupisha miaka saba ya fursa kwa wayahudi. Unyakuo litakuwa tukio la kimyakimya. Wale watakaoisikia sauti ya Malaika mkuu ndio watakaoondoka kumlaki Bwana Yesu mawinguni.
Nakubaliana na hiliIle siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya watakaopotea watakuwa wakiendesha vyombo vya moto vitakavyopata ajali baada ya wao kupotea ghafla wakati vikiwa kwenye mwendo mkali. Siku hiyo itatisha na itakuwa mwanzo wa mapigo yatakayofuata.
Kuna watu wanadhani hizi ni stories ila kiuhalisia Kwa wafuatiliaji wa haya mambo , huu ni wakati wa hatari sana tunaishi , hizi zama ni za mwishoHahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Dingi we ushaoa,ushazeeka. Huyu niachie ni size yangu na mpaka sasa tupo hatya nzuri tu usishangae akiwa ndo wifi yako,tutakupa cardUsimpotoshe binti wa watu. Mungu amsaidie ashinde majaribu yako.
Wafia dini hao na illusionWalokole once again, walokole hawajawahi kuwa timamu akilini
Ni kweli mkuu YouTube ukiingia Unyakuo TV yule jamaa anaelezea Kwa kina.Yesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Kijana unatakiwa kuwa na nidhamu. Unataja dingi halafu unasema wifi, uko sawa kweli?Dingi we ushaoa,ushazeeka. Huyu niachie ni size yangu na mpaka sasa tupo hatya nzuri tu usishangae akiwa ndo wifi yako,tutakupa card
Kila kitu kimeandikwa kwenye biblia.Nani kakwambia?
Embu weka hapa tuone. Maana kuna kuandikwa na kuna kutafsiri.Kila kitu kimeandikwa kwenye biblia.
Watanyakuliwa...watapotea..Ina maana hawatakufa?! ..na imeandikwa kila nafsi itaonja mauti!Mfano pale kawe wapotee wote ubaki na makapu ya sadaka! Miracle money hiyo.