Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Yaani zipo za aina tofauti zenye kuvutia kwa wembamba na wanene. Unaweza vaa casual au official. Kila zama na kitabu chake
Nakubali yani😅 kutoka watu kuvaa 3X Tees na baggy jeans mpaka leo watu wanavaa vitishet modo jeans modo ni mabadiliko ya hali ya juu
 
ile "permanency" ndio tatizo kwenye Tattoo vinginevyo haina tofauti na hina, Vile vile kuchora Kitu cha kipumbavu (Mfano 26 number, 2pac nk ) inafanya Tattoo kuonekana tatizo zaidi
Yupo bwege mmoja nilimuona juzi kwenye mtandao yeye kajichora picha ya chifu Hangaya usoni hapa kwenye paji la uso!

Bora hata angekuwa amejichora picha ya baba/mama au wanae yeye kaweka ya mtu ambaye hata kumsogelea metre 10 hawezi,pumbavu kabisa!
 
Kwahiyo wanaume mnaochora mnatoa kubwa au?
kawaulize walochora, ila wee endelea kuzichora, utamalizwa hayo marinda yote.

Kuna dada huku kazichora anaomba tumpige mtungo wa kinyeoni. Anadai anawashwa, eti tumuhurumie.
 
kawaulize walochora, ila wee endelea kuzichora, utamalizwa hayo marinda yote.

Kuna dada huku kazichora anaomba tumpige mtungo wa kinyeoni. Anadai anawashwa, eti tumuhurumie.
Kama yako yanavyoendelea kuisha shauri zako wewe endelea tu na hizo tattoo utamzidi james delicious
 
28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 19:28
Mambo ya Walawi yanakuhusu nini wewe Mndengereko?
 
Kama uyo mess Ni shoga utajuaje??
 
Kama yako yanavyoendelea kuisha shauri zako wewe endelea tu na hizo tattoo utamzidi james delicious
mimi nikute mwanamke ana tattoo au nikute mamaaa mrs van una tattoo huwa siulizi mara mbili, ni mwendo wa kifiro tuu

na mi nikisha ku.fi.ra lazma unogewe tuu, utanitafuta kila siku.

Kuweni makini na hizo tattoo zenu, hasa wanawake, tena mzifute au msichore kabisa.
 
Ni tatizo la mtazamo tu, kumbuka tofauti ya kimtazamo ndo inayoifanya dunia iendelee kuwepo .

Endelea kuamini unachoamini, Ila kiukweli wapo waliochora na ni wastaarabu kupindukia. Michoro ya tattoo haiakisi tabia ya mtu.
Uislam umekataza tatoo, ukristo umekataza tatoo, haijalishi wewe ni mstaarabu au sio. Nyie msio na dini endeleeni kuchora
 
Tattoo!!. Wanachora watu wa ovyo ovyo kwenye jamii. Yan kuna vitu akifanya mtu huitaj nguvu kujua ni wa aina gan kichwan. Unaweza kuwa na pesa lakin wa ovyo!
Mtoa mada niruhusu kuongeza vitu vya ovyo mwilini;
kikuku, shanga, heren ya pua, kipini nyusi, kope, kucha, kiduku na way, lenz za macho, rasta kwa wanaume.
 
She had a Tattoo, Ila Nampenda Ananipenda, Na Yuko Smart tu Upstairs
 
Kufuta tattoo ni gharama kuliko kuichora na sio salama sana maana unajiweka kwenye hatari ya kipata madhara pia
 
She had a Tattoo, Ila Nampenda Ananipenda, Na Yuko Smart tu Upstairs
kwakweli mchunguze sana huyo mwanamke, lazma analiwa ndogo, kama hakuwai kukupa jicho, wee jua tuu huko nje kuna mtu anamkula jicho.

Duniani hakuna mwanamke mwenye tattoo asie toa jicho.

Tattoo na kikuku kwa mwanamke vinamaanisha, analiwa kotekote. Afadhali kikuku kidogo, ila kwa Tattoo 100% analiwa ndogo na kama bado asilimia 100% lazma ataliwa jicho tuu.
 
Nina rafiki yangu alichora mikononi anajuta,muda wote anavaa mashati marefu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…