Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Tuliza akili mkuu! Hujaona nimesema kuwa japo kesi ya kubambikiwa?
mm sijui kama ni wahuni. ninachojua walimsaidia mwenzaoChadema ni wahuni na husubiri matukio!
brazaj soma hapa kama mm hukunielewa
Mdude aliwekwa ndani kipindi ya mwendazake, na hao unaowaita wanafik nao walikuwa wakipitia maswahiba yao, kama vile kufungiwa accounts zao za mabenk, kuvunjiwa bustani zao, kupigwa marufuku hata mikutano ya ndani ya siasa.Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa kusaini petition ili Mondi atolewe BET.Wazee wa hashtag wa twitter wakamtoe, ufipa mnajazanaga ujinga mkiongozwa na mbowe tapeli
Hayo manung'aembe akina halima mdee, bulaya, matako ooh sory matiko na wengine waliochakachuliwa na ndugai wanakutia uamuzi waoViherehere ndo vinavyowaponza, wenzao wanakula maisha uraiani wao kujifanya wanaharakati, kiko wapi sasa zaidi ya kumtia stress baba yake na mama ake,, big up sana kina halima mdee na wenzake kwa kuangalia maisha yao kwanza kisha hayo mambo ya mavyama watajijua wenyewe, nchi hii hakuna mpinzani wala mwanaharakati wote wapigaji, ukijitia kiherehere kuungana na likitokea la kutokea wanakuchora tu.
Na wewe kamtoe Sabaya..ana mimba tayariWazee wa hashtag wa twitter wakamtoe, ufipa mnajazanaga ujinga mkiongozwa na mbowe tapeli
Wewe ni mgeni hapa nchini?
Umeona tulivo wanafiki ziara zote mikoani hatukukumbuka hilo.Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Manungaembe wakati wenzio wanapiga hela mjengoni afu hao wanaojiita wanaharakati ndo hao kina mdude wananyea debeHayo manung'aembe akina halima mdee, bulaya, matako ooh sory matiko na wengine waliochakachuliwa na ndugai wanakutia uamuzi wao
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
πππManungaembe wakati wenzio wanapiga hela mjengoni afu hao wanaojiita wanaharakati ndo hao kina mdude wananyea debe
Mkuu ingawa mimi sio CHADEMA ulitaka wamsaidieje?
Hujui?Mkuu ingawa mimi sio CHADEMA ulitaka wamsaidieje?
Ndio maana yake kina Mnyika walitimuliwa chuo ila leo ndio vijana wanafaidi boom....bila wao kuleta harakati pengine wangekua under compensated tena beneficiaries wakiwa wachache sana!!Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
Tunampenda mwenyekiti SAMIA HASSAN SULUHU!Mdude aliwekwa ndani kipindi ya mwendazake, na hao unaowaita wanafik nao walikuwa wakipitia maswahiba yao, kama vile kufungiwa accounts zao za mabenk, kuvunjiwa bustani zao, kupigwa marufuku hata mikutano ya ndani ya siasa.
kibaya zaidi, hata wangepaza sauti juu ya mdude nyangali, zingendikwa kwny gazeti lipi lisilotaka kufungiwa? wangeongea kwny tv ama redio ipi isiyotaka kufungiwa?
Apende asipende, mama tutamwongezea muda wa kutawala
Hiyo haki inatokea chadema wanaongoza nchi!Angesaidiwaje nawakati kulikuwa na jabali dictator liloangamiza wenzake bila huruma, limetwaliwa Sasa...ndo haki inatokea tena
Na wewe kamfufue huyuView attachment 1817056