Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Kweli kabisa mkuu...

Kengne tunapaswa kuoa wanawake ambao tunalingana nao mawazo Ili kutimiza ndoto zetu kwa pamoja..

Sio, mume ndoto yake kwenda kusini na mke ndoto yake kwenda kaskazini...apo lazima kutatokea reaction.
 
Swadakta...👍
 
Ili kukombolewa kwenye jambo lolote ni lazima muhanga awe tayari.

#YNWA
 
Utakuta ni uongo.
Ukute anakazwa hasaa ila ni tamaa tu ina muwaka.

#YNWA
 
Daaah...kweli bro..tunywe bia na tuchome nyama kwanza.[emoji4][emoji4]
 
Duu ilikua ni ingie kwenye ndoa mwezi ujao nimeghairi itajulikana mbele ya Safari maana demu mwenyewe amesha Anza masharti eti niache pombe niokoke Kama yeye wakati Mimi nasali Roman Catholic atanite Bora niwe baharia tuu ivi naanda Uzi was kumpiga chini ngoja nizibue akili na k vant
 
muulize kati ya yy na pombe nani kamkuta mwenzie?
 
Sema nn ujue, inategemeana sana na ninyi wenyewe.
Ila mm nilioa (bila kutarajia) mapema saanaa nikiwa at just 25 years...na tuko poa tu mungu anatusimamia vyema
Kweli mkuu inategemea mtu na mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana na comments za wanaume humu

Alafu nikwambie kitu shunie kuna codes nimeziminya ningefunguka vyote mhuni wangu angemind sababu angejua tu ni yeye moja kwa moja sababu mandez wa ivyo ni wachache sana ila wapooo
 
mkuu umewaza kama mimi aisee.
Yaani jinsi ninavyowachakata wake za watu halafu wengine mijimama ya heshima muda mwingine huwa nashtuka na kujiuliza ina maana wife naye kuna machalii wanammega nini

Aisee acha kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…