Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Basi hayo ndo matokeo ya kumuacha mke mpweke hamjifunzi kwa Adam tu
Robert Heriel Mtibeli mzabzab
Njooni huku, hawa wadada wanasema kuwa wanataka mume ambaye atampa uhuru, sasa uhuru wakipewa na kigari juu wanabadilika ,
Ukisema wakae home mda water hawataki wanasema mume wangu anipi uhuru, ukisema basi tuwe wote mda wote pia wanasema mume wangu hanipi uhuru.
Sasa dada yetu Kapeace anasema tusiwaache wake zetu kama Adam alimuacha mkewe mpaka akadangaywa na Joka.
(Ni kweli alichosema maana MUNGU alisema mke na mume wawe wote all time)
Sasa iweje sometimes wanataka uhuru wa kwao?
 
🤣🤣🤣 So unataka kumdolishia?msamehe bana alipitiwa tu,ila mwandikishane kuwa hakuna mali yako yoyote itamuhusu,uone reaction yake,nyie ni wazazi msamehe mlee mtoto wenu meembo🙏
 
Sawa tuseme ni bahati mbaya sasa kitendo cha kutunza mimba hadi ikakua huku akidhamiria kukusakizia wewe bado ni bahati mbaya?

Kama mwanamke anachepuka kisha kupata mimba na kuilea huku akitarajia atakudanganya huyo ni mtu wa hatari sana
Ndo maana siamni kwenye bahati mbaya , kivipi bahati mbaya , how????????
 
😂😂😂Ujue unanifurahisha sana we moronight, Mnyarwanda wako hajambo naona umempata mwenzio nae ana mnyaru😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…