Watanzania hatuna shida. Anayekuja na ujinga wake ataondoka na kutuacha wamoja tukipendana. Nchi iko Salama kabisa! Tuomboleze tukipeana pole na maisha yasonge mbele. Duniani tunapita, tujue hilo na tuache kiburi na majivuno!100% tuko salama kabisa tushikamane tuwe kitu kimoja.
Amejenga uzalendo gani we kimaMungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Eti Chuma hicho! Chuma mwanadamu, kweli! Jifunzeni unyenyekevu.Hivi wale walikuwa wanataka, muda wa raisi kuongoza uongezwe, itakuwaje
Wataendelea mjadala au?????
Ukishamjua?Kila la heri madam president. Sasa atutambulishe rasmi first gentleman wetu tumjue
Mzee mapema Sana. Usi mjudge MTU Kwa kumwangalia Tu . ANGALIA matendo yake. Otherwise tumuombee Mpendwa wetu kipenzi cha wanyonge alale salama peponi.Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Amejenga uzalendo gani we kima
Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Msisahau el na ra nao wanapasha misuli kuweka MTU wao 2025Hili la kuteua makamu wasindikizaji ni tatizo. I hope tutajifunza sasa. Ni vyama vyote. Unakumbuka aliyekuwa makamu wa Lissu? Balaa kama hili halikuwa limetokea watu wakachukulia simple. Ila tusihukumu mapema. Anaweza kuja kuwa rais mzuri mpaka kila mtu akashangaa. Tumpe muda. Naona Kikwete ka mbali akirudisha majeshi. Naona Membe naye akipasha misuli.
Achana na wafalme wa enzi za Akina Daud. Bado kuua ni dhambi inayomchukiza Muumba.Hata ingalikuwa ni kweli haya umtuhumuyo nayo ni Rais/ Mfalme gani kuwahi kutokea duniani ambaye hakuua?! Anzia kwa wa kwenye Misahafu sembuse hawa wa katiba za vyama na nchi, manabii na wafalme wakina Sauli na Daudi
Achana na wafalme wa enzi za Akina Daud. Bado kuua ni dhambi inayomchukiza Muumba.
Lakini Mungu alikataa kabisa Lissu asife,ili amtumie.
JK huwa namtetea sana kwasababu moja hasa;Huyo si ndiye alikuwa mmoja wa wenyeviti wa bunge la katiba,unakumbuka walichokifanya yeye na akina Jk?
Kwa mkapa hukuenda?Kwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Point yako ni ipi sasaMara ya mwisho namuona Magu ni pale St Peters, alisali pale