Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
Kwisha habari yenu. Sijui mtamfanyia nani ule unafiki wenu wa kuimba mapambio na kutaka kumuongezea mhula!

Mataga mmepoteana! Poleni sana. Hamna budi kujipanga upya.
Nisome vizuri mjomba ...pitia thread zangu jiridhishe kabla ya kujibu.
 
Yawezekana yupo anayeharibu kututisha na kutaka kutuondoa kwenye mpango kazi muhimu wa kuhakikisha tunakuwa huru kikwelikweli.
Ujumbe uwaendee wazalendo na mabeberu pia.kuwa TANZANIA HAIWEZI KUOGOPA KAMWE....Matukio makubwa yanaijenga TANZANIA YA WAZALENDO.
Ipo orodha ya mamilioni ya watanzania ambao wapo tayari kusucrifice maisha yao ili tu Tanzania ibaki kuwa Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Masikini utishwe na nani? Naona bado una hangover ya siasa majitaka ya mwendazake. Usijibanze kwenye kivuli cha watanzania, maana watanzania wenyewe walikuwa hawaamini siasa zenu za propaganda za post colonial, bali walikuwa kimya kuhofia lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Kaingia huyu mama hana roho chafu, hata mkimlazimisha kufuata siasa za kiharamia hawezi kupatia moja kwa moja maana haamini katika ushetani wenu.

Nakushauri fuatilia mafao yako haraka ya lile kundi lenu la watu wasiojulikana, maana mmiliki hayupo kabla hela hazijaliwa na Mataga wa lake zone. Hizo hela hazina mahesabu utaachwa uanze kulialia. Siasa chafu sasa zimefikia tamati baada ya Mungu kuamua kufanya mabadiliko bila kumwaga damu.
 
huwa sikai kambi ya wahuni. kambi yangu ni ile ile...ya wazalendo.
Kwani Samia ni kambi gani?
Bila shaka bado upo kwenye ile kambi yenu kongwe ya Lumumba! Ileeee ya buku 7 kwa siku!!!

Bahati mbaya hivi karibuni kuliibuka kambi nyingine mpya ya wanafiki na waimba mapambio kwa mwenyekiti wenu! a.k.a MATAGA! Nilidhani upo huko kwa sasa.
 
Huwa sina kambi...ni maslahi ya TANZANIA TU
 
Mungu ibariki Tanzania

Mungu mbariki Rais wetu Samia.

Mungu ibariki CCM.

R. I. P JPM

Puppets waendelee kulelewa huko waliko
 
Yawezekana yupo anayeharibu kututisha na kutaka kutuondoa kwenye mpango kazi muhimu wa kuhakikisha tunakuwa huru kikwelikweli.
Ujumbe uwaendee wazalendo na mabeberu pia.kuwa TANZANIA HAIWEZI KUOGOPA KAMWE...
Pole sana hizi thread za kisukuma zishaondoka na jiwe tupo zama za fikra mpya!! Mmemponza mwenzenu ushamba umechukua maisha yake kizembe sana!!
 
Kwisha habari yenu. Sijui mtamfanyia nani ule unafiki wenu wa kuimba mapambio na kutaka kumuongezea mhula!

Mataga mmepoteana! Poleni sana. Hamna budi kujipanga upya.
Mbona kama umepanic?

CCM bado iko Ikulu safari hii chini ya mwana mama Samia Suluhu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu yako Mbelgiji ataendelea kuisikia Ikulu kupitia twitter ya Kigogo.
 
Mbona kama umepanic?

Ccm bado iko Ikulu safari hii chini ya mwana mama Samia Suluhu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu yako mbelgiji ataendelea kuisikia ikulu kupitia twitter ya kigogo.
Sijawahi kupanic
 
Mungu ibariki tz
Mungu mbariki Rais wetu Samia
Mungu ibariki ccm

R. I. P JPM

Puppets waendelee kulelewa huko waliko
Poleni sana Mataga! Mmepoteana tangu mpendwa wenu aliye wadekeza na kuwasikiliza aondoke! Mtabakia wapweke milele! Hakuna atakaye poteza muda wake kuwa karibu tena na nyinyi.
 
Poleni sana Mataga! Mmepoteana tangu mpendwa wenu aliye wadekeza na kuwasikiliza aondoke! Mtabakia wapweke milele! Hakuna atakaye poteza muda wake kuwa karibu tena na nyinyi.
Usiniweke kwenye kundi hilo kirahisi ha ha ha
THE BIG GAME IS ON...
 
Back
Top Bottom