CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
CUFHuwa sikai kambi ya wahuni. kambi yangu ni ile ile, ya wazalendo.
Kwani Samia ni kambi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CUFHuwa sikai kambi ya wahuni. kambi yangu ni ile ile, ya wazalendo.
Kwani Samia ni kambi gani?
Kwa upeo wako
Mungu ibariki tzVipi muhula mwingine? Daah ule mdomo sahv umeganda tu na barafu
Mi nipo zangu majuu mtajuana wala vumbi huko!!Mungu ibariki tz
Mungu mbariki rais wetu Samia
Mungu ibariki ccm chini ya jemedar wetu Samia hadi 2025 ili tuwagonge tena wale jamaa
R. I. P JPM
Ni ajabu sana unamsikia mtu anasema kuna mtu ananisukuma huku yeye mwenyewe hamuoni na sisi hatumuoni pia. Tunamkubaliaje, kwa mfano. In reality tunatawaliwa na hisia kuliko uhalisia.Kuna puppets wanadhani sasa nchi itasambaratika, wasahau. Uzuri ni kuwa nchi yetu iko imara chini ya Samia. Watanzania wengi sana tupo nyuma yake mh. Rais, kwa maombi na ulinzi. RIP MAGUFULI
Hisia tu si uhalisiasorry nani anaitishia tanzania? tuanzia hapo
Madam president ameona kwa macho na si kuambiwa na alivyo tufurahi kwa sababu yapo ya kuumiza ambayo hatayaruhusu.Masikini utishwe na nani? Naona bado una hangover ya siasa majitaka ya mwendazake. Usijibanze kwenye kivuli cha watanzania, maana watanzania wenyewe walikuwa hawaamini siasa zenu za propaganda za post colonial, bali walikuwa kimya kuhofia lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Kaingia huyu mama hana roho chafu, hata mkimlazimisha kufuata siasa za kiharamia hawezi kupatia moja kwa moja maana haamini katika ushetani wenu...
Hata waliokimbia hawakuikimbia nchi bali mtu. Nchi haiponyi bali mtu aweza kuponya majeraha. Watu hutofautiana!huwa sikai kambi ya wahuni. kambi yangu ni ile ile...ya wazalendo.
Kwani Samia ni kambi gani?
Kwa madaraka niliyojipa.Wewe kama nani?
Kwaiyo ukiingia ndio niniUtawala mpya huu unaingia mjomba.
Haya ni maono ama utashi wa fikra zako?Wanabodi mnaweza mkawa mnanielewa vibaya sababu wengi wengi huwa tunapenda kuangalia sarafu upande mmoja.
Miaka mitanon ya hayati Dr Magufuli kuna baadhi ya mambo yalidhibitiwa vizuri hasa suala la upigaji mkubwa kama tuliokuwa tunausikia awamu ya nne ya Jakaya.
Japokuwa tupo tunaomboleza lakini kuna baadihi ya wanaCcm waroho wa madaraka na mafisadi wamefurahi sana. Maana wao kukwapua mali ya umma ni sehemu ya maisha yao.Na alipokuwepo JPM aliwadhibiti. Sasa ameondoka mtasikia mambo ya ajabu. Mtasikia kandarasi kama Escrow zinaibuka na mpaka tunakuja kishituka watu wameshakwapua mabilioni ya shilingi.
Mbali ya hayo tutarajie watendaji na wateule wa rais kufanya kazi kwa uzembe wa hali ya juu. Maana watanzania wengi hawajui wajibu wao mpaka wasukumwe kwa vitisho vya tumbua mtumbua.
Kwa ufupi tunaenda kurudi nyuma sana na huo ndio ukweli.