PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.
Mtandao gani umefunguliwa wa kutukana serikali?
 
Hakuna aliyeshika bunduki na kupiga watu ambaye alikuwa raia wa kigeni, vijana wa humu humu nchini.

Mpango wenu wa kishenzi wa kutaka kuipindua nchi kwa kigezo cha maandamano ya vijana ulishindwa kitaalam.
 
Mapinduzi halisi ndiyo kwanza yanaanza. Hakikisha masalia unayopata toka mezani kwa Samia umeyaandaa vizuri kuhudumia wanao; maanake hayatakuwepo tena.

Huu usanii wa hiyo tume ulifikiri ndiyo itakuwa kinga kwenu?
Kelele zenu za chura hamzimzuii tembo kukata kiu, utaendelea kuota mvi kichwani huku ukilialia humu JF.
 
Hakuna atakapokwenda kujitetea, tume imeshamaliza kila kitu.

Hizo chuki zenu zitaendelea kuwatesa mpaka siku mtakapopumua pumzi ya mwisho duniani.
Kakiri kaua 500 anafikiri wachache sana, mshauri wake ni baba levo mnategemea nini.
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtete Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtetea Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtete Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
Waruhusu wachunguzi huru kwa sababu siyo tuhuma ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…