Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Alionekana jana navuka mpaka wa Namanga kwenda Kenya!! Watz wakamcheki tu bila kuwa na time naye!Lissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa
Yaani ni sawasawa na ulipe pesa walimu ili wakuvujishie mtihani wa mtoto wako ambae ni mwanafunzi, halafu matokeo yakitoka mtoto anakua ameongoza darasani then unamuandalia bonge la sherehe kumpongeza.Wamesema anaapishwa lini...??
Kibaraka ameshakimbilia Kenya mkuu! hahahahahaha...!Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Mkuu, unasema kweli? Ndo chadema wajue kuwa huyo siyo mwenzao.Kibaraka ameshakimbilia Kenya mkuu! hahahahahaha...!
Kwi Kwi KwiTume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.
Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ambaye amepata kura 1,933,271.
Dkt. Magufuli ambaye pia ni Rais wa Tanzania amepata ridhaa ya kuongoza kwa muhula wa pili kama Marais waliotangulia.
Tume imesema walikuwa na jumla ya watu 29,754,699 waliojiandikisha kupiga kura, na waliopiga kura walikuwa 15,091,950. Kura halali zilikuwa 14,830,195 huku kura 261,755 zikiwa zimeharibika.
Hii mbona ilikuwa wazi kabisa!Asilimia 80+ aisee hii kali.
Taarifa zinasema hivyo! Kwani leo umemuona popote hapa TZ? Inasemekana alioneka tarehe 29/10/2020 Namanga kumbuka pia ile tiketi yake ilikuwa ya tarehe 29/10/2020. Kesho kwenye mkutano wao tutajua kama yupo.Mkuu, unasema kweli? Ndo chadema wajue kuwa huyo siyo mwenzao.
Vipi kibaraka/msaliti yuko wapi??Kwi Kwi Kwi
Endeleeni kudanganyana.Mkuu, unasema kweli? Ndo chadema wajue kuwa huyo siyo mwenzao.
Unakubaliana na huo upuuziAsilimia 80+ aisee hii kali.
Kwa hiyo kesho kwenye kikao cha kutangaza mandamano atakuwepo?endeleeni kudanganyana
Zakuambiwa changanya na zakoMilioni 12 kwa milioni 1 asee kweli watanzanua ni wanafiki
Yani mpaka kwenye kupiga kura mnakuwa waoga kuandamana ndio tutaweza kweli?