Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

CDM mna mbwembwe kweli, huyo kamanda mwenye camera kichwani na na lileso puani ndio ulinzi wa TL huo? hahahaha CDM acheni utoto bwana....
 
Kawa mdogo ka shanga, hivi hapo akiambiwa yuko chini ya ulinzi hamna ujanja, akishakabidhi form kisutu moja kwa moja
 
Kusubiri uteuzi au kupewa majibu ya Kama Lisu kateuliwa au la? Kwani kurudisha fomu lazima uteuliwe? Lisu mwanasheria koko

Alichoandika hakiko sawa kisheria

Mimi namzidi kumshinda kisheria japo sikusoma sheria Lisu Yuko zero kisheria kwenye hili Mimi namuacha mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…