Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Huyo Mlinzi Wa Tundu Lissu Hataree,Kichwani Ana Taa Kama Zile Ndogo Wavaazo Watu Wa Migodi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mlinzi Wa Tundu Lissu Hataree,Kichwani Ana Taa Kama Zile Ndogo Wavaazo Watu Wa Migodi!
Ameshateuliwa, hakusubiri hata sekunde mojaHivi na Rais Magufuli alihifadhiwa hapo?
Hapa napo Kuna kazi aise,Kwamba Umeongea Point dahKama kurudisha tuu fomu hamuwezi kutii ratiba je mkipata uongozi si mtalala kabisa? Time factor ni muhimu sana kwenye maisha.
Wasiojulikana wako mbali?Eee Mungu mlinde mja wako,akiwa ndani ya chumba hicho na hata akitoka.
Huyu Ni Lulu ya Taifa.
Kama wewe ni Chadema huna haja ya kuzima, I will refund youNasubiri tangu asubuhi sijazima data kabisaa
Hivi na Rais Magufuli alihifadhiwa hapo?
Gusa unase km ww ni mtu usiyejulikanaCDM mna mbwembwe kweli, huyo kamanda mwenye camera kichwani na na lileso puani ndio ulinzi wa TL huo? hahahaha CDM acheni utoto bwana....
Kawa mdogo ka shanga, hivi hapo akiambiwa yuko chini ya ulinzi hamna ujanja, akishakabidhi form kisutu moja kwa mojaMhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
View attachment 1547525