Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Koko Kama alivyo mumeo?😣😏Kusubiri uteuzi au kupewa majibu ya Kama Lisu kateuliwa au la? Kwani kurudisha fomu lazima uteuliwe? Lisu mwanasheria koko
Alichoandika hakiko sawa kisheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koko Kama alivyo mumeo?😣😏Kusubiri uteuzi au kupewa majibu ya Kama Lisu kateuliwa au la? Kwani kurudisha fomu lazima uteuliwe? Lisu mwanasheria koko
Alichoandika hakiko sawa kisheria
Rais Magufuli hawezi kukaa sehemu ya takataka!Wengine wote akiwemo mgombea wa ccm walifanyiwa hivyo ?
Wacha tusubiri
Mchezo ule ule wa kwenye msiba wa R.I.P MkapaMmmmmh! Yupo nje ya muda, kulikoni?? Na alikuwa wapi? Tuwe makini na huyu mtu
Eee Mungu mlinde mja wako,akiwa ndani ya chumba hicho na hata akitoka.
Huyu Ni Lulu ya Taifa.
Halijaolewa hiloKoko Kama alivyo mumeo?😣😏
Updates basi! Sasa hivi ni saa 7 na robo, hawajakabidhi tu hizo fomu?Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
View attachment 1547525
Mwisho wake umefika rasmiRais Magufuli hawezi kukaa sehemu ya takataka!
Tumeccm inawasumbua wengine lakini CCM hata form kijazwa na mjukuu wa mtukufu bila mtukufu kuwepo wataipokeaWengine wote akiwemo mgombea wa ccm walifanyiwa hivyo ?
Shukrani mkuuWala haipo kama anavyosema mtoa mada. Kilichopo ni kuwa muda umekuwa mrefu kwa waliotangulia hivyo kupelekea muda kuongezeka, hadi sasa hata NCCR nao hawajaingia na ilibidi waingie kabla ya chadema
Ndo utaratibu wa NEC ulivyo?Tumeccm inawasumbua wengine lakini CCM hata form kijazwa na mjukuu wa mtukufu bila mtukufu kuwepo wataipokea