Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Ndio kusema inasubiriwa ndege ya kumleta Lisu Kisutu?.
au Jiwe anaogopa kushindana na Lisu?
 
Sources from Dodoma told the Electroal commission has nullified a Presidential candidancy of a member of opposition Camp! My collegue is closely monitoring the situation in Dodoma.

More to follow shortly:
 
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

View attachment 1547525
Updates basi! Sasa hivi ni saa 7 na robo, hawajakabidhi tu hizo fomu?
 
Kila la heri NEC katika maamuzi yenu..
MUNGU zaidi kuwapa hekima na busara ili muweze kuamua kwa haki.
 
Wala haipo kama anavyosema mtoa mada. Kilichopo ni kuwa muda umekuwa mrefu kwa waliotangulia hivyo kupelekea muda kuongezeka, hadi sasa hata NCCR nao hawajaingia na ilibidi waingie kabla ya chadema
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom