Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Wewe mwenyewe mbumbumbu juha zuzu huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM wewe ni zero na mchawi mkubwa
 
Tundu Lissu ana akili nyingi sn ndio maana yule mlala kwenye mawe km mjusi anamuogopa sn
 
Waende mahakamani atakuwa mgombea wa mahakama Kama Kafulila kipindi kile
 
Wakuu, kuanzia saa sita kamili mambo yamesimama ofisini hapa.Kila mmoja anashauku ya kusikia Lissu kateuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…