Geuzia macho ukumbini tafadhali....Chuma cha watanzania kinaingia right nowwwwwwKaka safari ya Lissu imeishia hapo?
Mwamba anaingia ukumbini right nowwwww
Kuteuliwa NI LAZIMAAmeteuliwa au unaleta kelele hapa za chama chenu
Ni YEYE...Huyu sio Lissu mbunge, wazungu wamefanya cloning, tangu atoke ulaya hajakutana na ndugu zake akiwemo kakayake, hajaenda kwake, hawakumbuki wazazi wake, kaenda kijijini kwao hakufika kuwasalimia.
Lissu original hakuwa na ndevu, huyu anamzuzu, sio yeye, vyombo vya usalama kuweni makini
Weka hapa utachoma ofisi ya mkoa gani tuje kukupa supportMie nasubiria waseme suu niingie road .nimechoka kuvumilia haya aisee..Tena naanza ofisi za CCM mkoa..namwaga petrol
Amina🙏🙏Tume imewapasa kufanya hivyo si kwa kupenda, bali ili lipate kutimia lile neno;
Marko 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…Ameteuliwa au unaleta kelele hapa za chama chenu
Tupe connection mkuu tujaribu bahati yetu, tupia inbox chap.Aise huyu Jane lowasa
Ni shida, mtoto guguu, hko nyuma balaaa
Rangi ya, mtumeee, kama kachorwa vile
Ngj Ntakpa connection
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hizo fomu za Chadema muda wote huo wanakagua kitu gani, wanalazimisha kutafuta makosa au kitu gani?
Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…Weka hapa utachoma ofisi ya mkoa gani tuje kukupa support
Ng'ombe tu hao..... Waende wakajianike kwenye mawe km yule bwana waoNaona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…
Ni cckGeuzia macho ukumbini tafadhali....Chuma cha watanzania kinaingia right nowwwwww
Nilichokuwa nimeandika nilimaanisha,kama nilivyosikia..Vyama viwili vimeingia mitini bado vinne na anayefuata sasa ni Lissu
Doh vyama vipi mkuu? Rais wetu mpendwa Hashim Rungwe Spunda kafanikisha?Bado vyama viwili pekee ikiwemo Chadema. Vyama vitatu vimeshindwa kuwasilisha fomu NEC
Mungu atatenda, Lissu atapitishwa kuwa mgombea Urais.si dalili njemaView attachment 1547706