Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Huyu sio Lissu mbunge, wazungu wamefanya cloning, tangu atoke ulaya hajakutana na ndugu zake akiwemo kakayake, hajaenda kwake, hawakumbuki wazazi wake, kaenda kijijini kwao hakufika kuwasalimia.

Lissu original hakuwa na ndevu, huyu anamzuzu, sio yeye, vyombo vya usalama kuweni makini
Ni YEYE...
 
Huyo jamaa wa CCK hakuwa kwenye ratiba na kaingia ofisi za tume muda huu
 
Back
Top Bottom