Hahahaaa mnatia hurumaLisu fomu yake itakuwa na shida tu.
Unaweza kuta na wewe kabisa una familia na inakuita kabisa baba ficha ujinga wakoLissu ni Mwanaharakati wala si Mwanasheria Mzuri. Sasa kama ameshindwa kufuata taratibu rahisi hivyo vitu vigumu ataviweza!!??
Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…Lisu fomu yake itakuwa na shida tu.
Membe huyuhuyu aliyetoka ccm kama lowassa?Trick iliyotumika ni kumchelewesha Lissu asirudishe mapema ili Membe asijtoe huku formu za majina na picha za wagombea zikiandaliwa.
Pia kanuni zinasema chama kikisharudisha fomu NEC ni kosa kujiondoa baada ya hapo.
ACT na CDM mkagawane kura, kijani washinde tena uchaguzi
😂😂😂Unaweza kuta na wewe kabisa una familia na inakuita kabisa baba ficha ujinga wako
Fake newsHii ni aibu na fedheha kubwa kwa CHADEMA chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani kwa kushindwa kufuata utaratibu wa kisheria katika kutafuta wadhamini, yaani hata CHAUMA imewashinda katika hilo.
Mpaka sasa imeshaonesha wazi kuwa CHADEMA ni chama kisicho makini na viongozi wake wanafanya mambo kwa kukurupuka.
View attachment 1547723
Angalia ratiba NEC walimpangia saa 6:00 mpaka saa 6:15 akiwa mtu wa 10.Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking.
😁😁lakini hata lisu akienguliwa uchaguzi wa mwaka huu hakuna shida, uchaguzi ujao wa 2025 hauko mbali atagombea
Magufuli alihakiki Jana fomu zake?Niseme tu hapa kuna tatizo, nimemsikiliza msemaji wa tme katoa maelezo mazuri na yalio nyooka, amabayo utagundua kwa CHADEMA ni mwanakitafuta mwanakulipata.
Ni hivi wagombea wote waliokuja jana kuhakiki fomu zao leo wameteleza tu.
Mbili wagombea wote walio hakiki wazamini wao kwa wasimamizi w auchaguzi wa mikoa/tume mkoa ofisi leo wamepeta tu pia.
Tatu tume lazima ipitie jina moja moja la wazamini wote na chadema imepeleka mikoa 16 na kila mkoa watu 2000 , hivi tunategema itakuwa shughuli fupi hivyo.
I buy your reasoning.Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba