Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Hapa Njendengwa Kumepoa....Geti Limefungwa....na nje ya uzio barabarani huko Kweupeeee HAKUNA hata magari Yaliyosimama
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.


Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
Tujiulize , kwanini kutangazwa kwa Magufuli kuwa mgombea hapo NEC hakujaleta msisimko wowote kama ilivyo kwa Lisu?

Kwa kweli Lisu is so special, maana kima wote wa kijani wanamfuatilia kwa ukaribu sana.
 
Wandugu;

Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.

Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?

Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
 
Iache tume ifanye kazi kwa uweledi, msiitishe. Mbn membe kapita fresh tu.
 
Hizo fomu za Chadema muda wote huo wanakagua kitu gani, wanalazimisha kutafuta makosa au kitu gani?
Kujaza fomu inapaswa kuwa kitu rahisi sana...
lkn kibongo bongo kujaza fomu ni kama kubeba tani Saba za mchanga kichwani noma sana!
 
Kujaza fomu inapaswa kuwa kitu rahisi sana...
lkn kibongo bongo kujaza fomu ni kama kubeba tani Saba za mchanga kichwani noma sana!
Hahaha...wanakagua wadhamini mkuu, tatizo ni pale mtu sijui atapataje Konyagi au wine humo kama hakubeba kwenye mkoba wa fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…