Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Huna akiliMakamanda walituahidi kuingia barabarani 😂😂😂😂 ingieni sasa makamandaaaa😂😂😂😂😂
😀😀😀petrol mbali huko amwage hata mkojo aone
Sema kweli!!?MWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
Hujui uliongealo kama sio rais nani rais wa tanzania kwa sasa. Ukiwa hujui ni busara sana kukaa kimyaWhy not?, magufuli ni mgombea sio rais...
PowerrrrrrrrrrrPeopleessssssssssssss
Ngoja kwanza nitulie maana sielewi,Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
thanks jesus kama taifa ilo nalo limepita kama kweliWoyooooooooooooooooooo
Unaota weweYaaani hyo ndio wanaita ukichomoa nchale na ukichomeka nchale
Sasa ni rasmi CCM WAMEKABIDHI NCHI KWA TUNDU mwana wa LISSU
Kichwa ndio dudu gani?Ameliwa kichwa!
Nacheka ila naogopa
Jamani ulinzi wake ukoje tafadhali muwe macho Mwanahabari Huru please and pleasePiposssss...Kazi imeisha huku Dodoma. Lissu amepitishwa rasmi na tume kuwania urais kupitia Chadema muda huu.