Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!

Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!

Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Hahahaaaa...... Furaha ya nyani huishia jangwani bwashee!
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
NEC wapumbavu Sana Sasa walimchelewsha mh raisi ili iweje?
 
Hivi ccm mtawaambia Nini watuu
Mnalazimisha machafuko ya tokee ili mchote hela hazina mtokomee uhamishoni🙄😂😂😂
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
mkuu kweli au unatania.? wangemkata tu maana atatusumbua na Amsterdam wake
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Ndiyo wakaamua kuzima tbc...?!
 
Kwa dhati kabisa nampongeza Tundu Lissu kwa Kuteuliwa kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi Kwetu wapiga kura kuchagua yupi bora baina yake na Rais Magufuli.

Sina Cha ziada cha kuongezea.
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Step one Done!! MUNGU tunaomba uwe na sisi watanzania wanyonge, safari bado ni ndefu na ina changamoto nyingi mno bila wewe hatuwezi kitu.

Simama nasi ee Mungu wa Majeshi, muumba mbingu na nchi.
 
Back
Top Bottom