johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Furaha ya nyani huishia jangwani bwashee!Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!
Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!
Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
NEC wapumbavu Sana Sasa walimchelewsha mh raisi ili iweje?Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Haswaaaaaaaaaaaa.........Nilikuwa...........pangechimbika
Hongera zake Kama kweli Mimi kama CCM nampongeza Kama kweliWoyooooooooooooooooooo
mkuu kweli au unatania.? wangemkata tu maana atatusumbua na Amsterdam wakeNi Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Hakuna kucheka na kima buashee! Utavuna mabuashee😂Hahahaaaa...... Furaha ya nyani huishia jangwani bwashee!
Aah wapiHongera zake Kama kweli Mimi kama CCM nampongeza Kama kweli
Ndiyo wakaamua kuzima tbc...?!Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Hicho kipara chako cha kichwani nywele zitaisha kabisa LISSU akishaapishwa wewe endelea kuwewesekaUnaota wewe
Step one Done!! MUNGU tunaomba uwe na sisi watanzania wanyonge, safari bado ni ndefu na ina changamoto nyingi mno bila wewe hatuwezi kitu.Ni Rasmi Sasa!