Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]Nilikuwa...........pangechimbika
Mwanga wa asubuhi wewe!Unaota wewe
Yaani kama nakuona bleed inavyokutokaHizo sio kejeli kweli maana hamna chanzo chochote
Asante Bwana Yesu, Allah Akhbar, Asante bwana Yesu!Piposssss...Kazi imeisha huku Dodoma. Lissu amepitishwa rasmi na tume kuwania urais kupitia Chadema muda huu.
Kwa nini walimweka mwisho sana ?Yaani tumesubiri mpaka basi. Kila lenye Kheri kwa Lissu.Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kumbe bado mtihani huko pale paleTarehe 25 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania
Urais, Fomu kuhakikiwa na Kutangazwa Kuteuliwa , kisha kusubiria kama kuna pingamizi
Baada ya fomu kuhakikiwa na kutangazwa kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kila kitu kipo sawa kuna zoezi muhimu la kubandika majina ili umma kuwafahamu.
Muda wa pingamizi ni kuanzi saa 10:00 jioni ya tarehe 25 Agosti 2020 hadi saa 10:00 jioni siku inayofuata yaani tarehe 26 Agosti 2020.
Zoezi hilo muhimu ni hatua inayofuata ni kusikia kama wagombea wamewekewa pingamizi na wale wadau wanaotambulika na Tume ya Uchaguzi, kisha wagombea wateuliwa kupata nafasi ya kujibu.
Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Pingamizi ngazi ya Urais linatakiwa kuletwa kwa maandishi katika fomu namba 9A na pingamizi hilo liwakilishwe ndani ya muda muafaka unaoanzia muda uliotajwa hapo juu na sababu za pingamizi litajwe.
Hivyo waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ngazi ya Urais kama wateule baada ya kuhakiki fomu na nyaraka wote wanaweza kuwekewa pingamizi muda wowote kuanzia muda wa saa 10:00 jioni ya leo tarehe 25 Agosti 2020 na mwisho wa kuwakilisha pingamizi ni kesho saa 10:00 jioni tarehe 26 Agosti 2020.
Hahahaaaa..... Makubwa jinga hayoNEC wapumbavu Sana Sasa walimchelewsha mh raisi ili iweje?
Moja ya vyanzo vya habari za kuaminika za chadema ni huyu mwamba anaitwa Martin m kule Twitter ameweka hii habariChanzo Cha habari..???
WoyoooooooooPiposssss...Kazi imeisha huku Dodoma. Lissu amepitishwa rasmi na tume kuwania urais kupitia Chadema muda huu.
Unampa ongera za nini mnafki mkubwa wewe? Kawapeni hongera waliompiga risasi.Hongera zake Kama kweli Mimi kama CCM nampongeza Kama kweli
Hii ndo Breaking News Sasa nilikuwa naisubiria kwa hamu Sana.Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa