Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Wamebana wameachia, Kishambaa a a a a a a .

Madai yao wamdhoofishe kisaikolojia.kumbe wazidisha kura za huruma na ghadhabu vichwani mwa raia.
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kwa nini walimweka mwisho sana ?Yaani tumesubiri mpaka basi. Kila lenye Kheri kwa Lissu.
 
Tarehe 25 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

Urais, Fomu kuhakikiwa na Kutangazwa Kuteuliwa , kisha kusubiria kama kuna pingamizi

Baada ya fomu kuhakikiwa na kutangazwa kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kila kitu kipo sawa kuna zoezi muhimu la kubandika majina ili umma kuwafahamu.


Muda wa pingamizi ni kuanzi saa 10:00 jioni ya tarehe 25 Agosti 2020 hadi saa 10:00 jioni siku inayofuata yaani tarehe 26 Agosti 2020.

Zoezi hilo muhimu ni hatua inayofuata ni kusikia kama wagombea wamewekewa pingamizi na wale wadau wanaotambulika na Tume ya Uchaguzi, kisha wagombea wateuliwa kupata nafasi ya kujibu.

Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Pingamizi ngazi ya Urais linatakiwa kuletwa kwa maandishi katika fomu namba 9A na pingamizi hilo liwakilishwe ndani ya muda muafaka unaoanzia muda uliotajwa hapo juu na sababu za pingamizi litajwe.

Hivyo waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ngazi ya Urais kama wateule baada ya kuhakiki fomu na nyaraka wote wanaweza kuwekewa pingamizi muda wowote kuanzia muda wa saa 10:00 jioni ya leo tarehe 25 Agosti 2020 na mwisho wa kuwakilisha pingamizi ni kesho saa 10:00 jioni tarehe 26 Agosti 2020.
Kumbe bado mtihani huko pale pale
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.

Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa
Hii ndo Breaking News Sasa nilikuwa naisubiria kwa hamu Sana.
 
Hii mishale yote ataishinda tu......

Lissu ni nabii wa Mungu kwa ajiri ya Tanzania
 
Back
Top Bottom