Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mtapata tabu sana.Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!
Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!
Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa
Wenye wivu wajinyonge jama ,wenye wivu wajinyongeMWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
HAKUNA mwenye shida na Lissu, mnatafuta huruma tuu hata pale pasipotakiwa.Mkuu inatakiwa uangalifu sana namna ya kuishi hapo Dodoma kwa Mh Lissu kwa masaa ya leo
Bila kusahau kula mahindi ya kuchoma, waandae mahindi ya kutosha maana ndio sera yao mpyaMWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
Kwamba CCM wanaenda kwa style ya kubeep? 😂😂 Hizi ndoto sijui huwa mnaziotaje🤔Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!
Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!
Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Hiyo 70% Wote wana smart phone,Radio,na TVs?Takribani 70% ya watanzania walikuwa online au ama kufuatilia nini kitatokea Dodoma.
Kweli hii ni kampeni tosha!!
Mungu Mkubwa!!
Tutaomba manowari ya Kimarekani Roosevelt iwe mwambao wa bahari ya hindi kulinda haki za aliyeshinda, be it magu or Lisu! au vipi johnthebaptistSiasa siyo uadui..... Tukutane October 28!
Bado mko na huyo mzungu wenu?wangemkata wangekiona cha mtema kuni kutoka kwa Bob Amsterdam!
Sasa mlikua mnalia lia nini. Magu hanaga ushamba ule wa kukata wapinzani wake