Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

chadema TV mnaboa sana yani mnashindwa kuwa na live coverage au basi hata live updates?? program yenu ya cdm digital mtaiweza kweli?
 
ilikuwa ni lazima apitishwe mtego aliouweka lissu kupita Mikoani na kusisistiza kuwa uchaguzi unaangaliwa na mataifa hata ingekuwa wewe ndio mtawala lazima ungempitisha-wengi hawakujua kama ni mtego,angejiroga kutafuta wadhamini kimya kimya ingekula kwake.
 
Tumepiga kampeni miaka mitano live kwenye luninga hatuna haja ya kufanya tena kampeni
 
Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!

Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!

Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
kama wapo mungu ana sema analipenda sana taifa lake kuliko mwanadam yoyote so hapa tulipo fika sio mda wa kuleta chokochoko tena , amin nawambieni na imekua
 
Oyoooooooo mpiga kura wake nipo namsubir ili nikamchague lisuuuuuuuuuuuuuuuu.But pia niwaombe wapenda mabadiliko wezangu tuhamasishane kupiga kura badala ya kubaki kumshabikia wakati siku ya kupiga kura hatuendi
 
Moto ungewaka kama wasingempitisha.
 
Naona wanachi wa jiji la Dodoma wamelipuka kwa furaha na shangwe baada ya kusikia habari za Lissu kupitishwa na tume ya uchaguzi kuwa mgombea urais.
 
Kilichobaki Ni kutimiza wajibu wangu kumpigia kura Tundu Lissu, Mungu aendelee kumlinda katika nyakati zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…