Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Shetani alitelemka hapa na malaika wake. Kama kweli wewe unafurahia kabisa dhuluma moyoni mwako jua siyo asili ya Mungu wa mbinguni hiyo. Mtu akidhulumiwa unasikia raha. Wewe ni wa upande wa pili (Shetani).
Acha kujifanya mchungaji, huku ukiwaita wenzako mashetani.
 
System ya nchi??? We jamaa bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alhamdulillah..Sina zaidi kwa sasa

Sasa tukutane Jukwaani Dor [emoji376] 2 [emoji376]

Nyumba kwa nyumba Bako 2 Bato

Niyeye#2025
 
siviamini tena, maana ilitoka baadaye wakakanusha! sitaki mpaka kesho....
 
Lakini umeiona hiyo Tume? Mimi nawaambia watafute Tume huru. Bila Tume huru watakuwa wanasindikiza tu. Cha kwanza Tume.
 
Jiandaeni ki-saikolojia mimi nipo gado na kesho saa 9:00 mchana naweka pingamizi kwa nini raia wa Belgium awe kwenye sanduku la kura? Patamu hapo!

..Duh!!

..wewe kweli una usongo.
 
Habari ya kusisimua kwa watanzania, Pia habari ya kutisha kwa vijana wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…