Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Mbona kama vile Lissu amekuwa mpole sana nilitarajia sasa hivi vitisho makamanda waende NEC, Amsterdam atoe tamko na mengineo.

Mwisho wa siku binafsi namuombea wampitishe ila apunguze ujuaji alikuwa na nafasi tangia 22 kupeleka form kama kuna lolote akabadili kabla ya kurudisha, wakati Membe anatumia fursa hiyo alikuwa anamuona pimbi.
Kijana wa Lumumba huna unachokijua
 
Mbona BBC sasa hivi wanasema Lissu hajapitishwa. Mtangazaji wao aitwaye Mfamao ndiye anayetangaza hivyo? Ila anasema viongozi wa CDM ndiyo wameitwa kuingia ndani ya ukumbi wa Tume ya uchaguzi. Tusubiri tuone.
 
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
Nittamini kesho maana kuna taarifa zinachanganya.
 
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
 
Nahisi hatopitishwa, giza limeanza kutanda na Tanesco wanataka kukata umeme maeneo ya Dodoma kwa ajili ya kerekebisha hitilafu.

Na TCRA wanasema wanataka kufanya marekebisho ya tower zao Dodoma.
Unaamini kabisa kuwa una akili?
 
Mbna bdo bhana
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
 
Duh wewe
Duh nimefurahi balaa

Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.

Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...

Kashinikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
 
Kuna uzi humu JF wa kutoa taarifa za Lissu kupitishwa na tume.

Kuna mwanchadema mpaka sasa hivi hapaalipo keshalewa pombe chakali kwa furaha.

Halafu akipata taarifa kuwa bado Lissu ajapitishwa. Atapitiliza afe kabisa kwa jinsi alivyolewa.
 
Hongera Lisu Kwa kuteuliwa
Hajapitishwa ndiyo sasa ameitwa. Tazama picha
20200825_193426.jpg
 
Back
Top Bottom