Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Daaah nasikia ngoma bado ngumu,, Hizi taarifa muwe mnatoa kwenye trusted source tafadhali
 
Bado nanoa panga, nipo morogoro, nimetoka mbeya kuwapa vijana maelekezo, nataka nikakate migomba nilishe ng'ombe, nikimaliza nitaenda moshi kufanya hivyo hivyo, ila kabla ya kufika moshi nitapitia gairo kidogo nikazungumze na mkuu mmoja, vp LISSU KAPITISHWA AU KAFANYIWA FIGISU???
 
Kuna uzi humu JF wa kutoa taarifa za Lissu kupitishwa na tume.

Kuna mwanchadema mpaka sasa hivi hapaalipo keshalewa pombe chakali kwa furaha.

Halafu akipata taarifa kuwa bado Lissu ajapitishwa. Atapitiliza afe kabisa kwa jinsi alivyolewa.
Hahahaaaa....... Mbege haiui bwashee!
 
Alhamdulilahi wamepita na kuthibitishwa, waTanzania na wana CHADEMA wote pigeni kelele WoyoWoyo

 
Sasa ndiyo anapitishwa
20200825_194146.jpg
 
Back
Top Bottom