Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Shetani alitelemka hapa na malaika wake. Kama kweli wewe unafurahia kabisa dhuluma moyoni mwako jua siyo asili ya Mungu wa mbinguni hiyo. Mtu akidhulumiwa unasikia raha. Wewe ni wa upande wa pili (Shetani).
Acha kujifanya mchungaji, huku ukiwaita wenzako mashetani.
 
Duh nimefurahi balaa

Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.

Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...

Kashindikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
System ya nchi??? We jamaa bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alhamdulillah..Sina zaidi kwa sasa
FB_IMG_15983723767036373.jpg

Sasa tukutane Jukwaani Dor [emoji376] 2 [emoji376]

Nyumba kwa nyumba Bako 2 Bato

Niyeye#2025
 
Duh nimefurahi balaa

Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.

Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...

Kashindikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
siviamini tena, maana ilitoka baadaye wakakanusha! sitaki mpaka kesho....
 
Lakini umeiona hiyo Tume? Mimi nawaambia watafute Tume huru. Bila Tume huru watakuwa wanasindikiza tu. Cha kwanza Tume.
 
Habari ya kusisimua kwa watanzania, Pia habari ya kutisha kwa vijana wa lumumba
 
Back
Top Bottom