Kijana wa Lumumba huna unachokijuaMbona kama vile Lissu amekuwa mpole sana nilitarajia sasa hivi vitisho makamanda waende NEC, Amsterdam atoe tamko na mengineo.
Mwisho wa siku binafsi namuombea wampitishe ila apunguze ujuaji alikuwa na nafasi tangia 22 kupeleka form kama kuna lolote akabadili kabla ya kurudisha, wakati Membe anatumia fursa hiyo alikuwa anamuona pimbi.
Tume huru ni muhum sana kwa Tanzania ya sasa tunajidanganya hakuna uchaguz wa huru na hakiLakini umeiona hiyo Tume? Mimi nawaambia watafute Tume huru. Bila Tume huru watakuwa wanasindikiza tu. Cha kwanza Tume.
Mbona BBC sasa hivi wanasema Lissu hajapitishwa. Mtangazaji wao aitwaye Mfamao ndiye anayetangaza hivyo? Ila anasema viongozi wa CDM ndiyo wameitwa kuingia ndani ya ukumbi wa Tume ya uchaguzi. Tusubiri tuone.Niyeye
Source Tafadhali!Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva!
Nittamini kesho maana kuna taarifa zinachanganya.Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
Dua zangu kwa Lissu, busara itumike.Kijana wa Lumumba huna unachokijua
Unaamini kabisa kuwa una akili?Nahisi hatopitishwa, giza limeanza kutanda na Tanesco wanataka kukata umeme maeneo ya Dodoma kwa ajili ya kerekebisha hitilafu.
Na TCRA wanasema wanataka kufanya marekebisho ya tower zao Dodoma.
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA wakili msomi Tundu Lissuameteuliwa na Tume kuwa mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Safari ya Ikulu kwa Tundu Lissu inaendelea kuiva-Goodluck Haule on twitter
Duh nimefurahi balaa
Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.
Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...
Kashinikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
MNA BAHATI...AMEPITISHWA MUDA HUU
Hajapitishwa ndiyo sasa ameitwa. Tazama pichaHongera Lisu Kwa kuteuliwa